Ushauri wangu kwa Eric Omondi

Ushauri wangu kwa Eric Omondi

ed4c6f07b9aa666cf7ef71f459b7eb03.jpg

mbona sioni dhihaka hapa?
 
Hakuna alichokosea

Wakati Yesu anasurubiwa ,alisitundikwa na wezi wawili mmoja alie samehewa na mmoja ambaye hakusehewa dhambi zake

Its obviously kuwa Eric alikuwa ana refer kwa yule alie tubu pale msalaban mbele ya Yesu
 
Vizuri kabisa, tatizo kuna watu humu na issue zao are very complicated, wamekomaa kukosoa mara dini sijui imefanyaje wakati hawajaishika hiyo dini ni wanafiki, malaya, wachawi tu, pili omundi hajakashifu chochote
 
Mnajifanya wajuaji kweli humu hebu ambaye amemshuhudia Huyo yesu anasulubiwa aseme hapa! Kama zote sio maigizo tu kuanzia picha hadi video na sanamu au wakuwa hakuna team omondi
 
mbona sioni dhihaka hapa?

Kwenye utawala wa Kiroma, kusulubiwa ilikuwa ni adhabu ya wahalifu wakubwa.
Sasa huwezi kusema Omondi amemdhihaki Yesu wakati maelfu waliwahi kusulubiwa.
Kwanini useme Omondi amemdhihaki Yesu na siyo wale wezi wawili wa pembeni?
Nisimame kwenye mitazano kwamba hatuwezi kufanana fikra, lazima tutofautiane na tuone mambo katika mitazamo tofauti
Mimi binafsi naona kuna shida, wengine wanaona hakuna tatizo...ni mitazamo ya maono ya vitu, japo upande mmoja unaweza kuwa sahihi zaidi
Nimezungumzia kuhusu Omondi kupenda kufanya vitu ambavyo vinamuweka kwenye spotlight lakini kutokana na nafasi yake nikatahadharisha kuwa kwenye baadhi ya mambo atumie weledi hekima na akili!vyovyote iwavyo picha yake hii italeta ukakasi kwa waamini! Imani ni kitu very sensitive
 
Mimi nilikua namshabikia ila alipo toa how tob magufuli hai kunichekesha nikajua labda kateleza tu ikaja how to be dmnd nikajua hakujipanga sasa hii ya kukaa msalabani ndio hajateleza ila amekera kabisa hasa pale alipo weka bango eti mwizi? kha .....

Yaye anajinasibisha na yule Mwizi ambae Yesu alimsamehe.
 
Vizuri kabisa, tatizo kuna watu humu na issue zao are very complicated, wamekomaa kukosoa mara dini sijui imefanyaje wakati hawajaishika hiyo dini ni wanafiki, malaya, wachawi tu, pili omundi hajakashifu chochote
Reply yenye viashiria vya chuki ndani yake
b8867ad311a3cc73dc7d3597f5d1ecff.jpg
 
Vizuri kabisa, tatizo kuna watu humu na issue zao are very complicated, wamekomaa kukosoa mara dini sijui imefanyaje wakati hawajaishika hiyo dini ni wanafiki, malaya, wachawi tu, pili omundi hajakashifu chochote
Ajabu mchawi kutetea dini.. Alafu hawa Mshana ni wachawi wakubwa kule upareni mpaka ukoo wao umetengwa
 
Mnajifanya wajuaji kweli humu hebu ambaye amemshuhudia Huyo yesu anasulubiwa aseme hapa! Kama zote sio maigizo tu kuanzia picha hadi video na sanamu au wakuwa hakuna team omondi
Unafahamu kitu kinaitwa imani? Hii kama si imani yako ni vema ukakaa kimya, ni kwa kupitia vitu vidogo sana vya kiimani watu walifanya vikasababisha mauaji ya kutisha vilema na uharibifu wa Mali
Wahindu wanaamini ngo'ombe ndio mungu wao na wanaabudu huyo mnyama kwa unyenyekevu na heshima kubwa sana? Je ng'ombe ni mungu kweli? Mbona huku ndio nyama inayoliwa sana?
Kule kwao hata ukichora picha tu ya ngo'mbe anachinjwa outrage yake itachukua headlines unajua ni kwa nini? IMANI
 
Hapa umeongea point mkuu.
Labda jamaa kaishishiwa na Cha kusema siku hizi.
 
Wale wamefika kanisani wanajua Yesu alisulubiwa pamoja na wezi wawili.
 
Eric kashakuw mkuda, mpumbavu sana huyu.. iweje afanye picha kama hii.. ku.manyoko huyu.!!

Mshenzi huyu, anafaa kupigwa shaba huyu.. chizi kweli, alafu anandika mwizi..!! huyo hafai kuishi, anakera sana siku hizi.. sura mbayaaaa, akili chafuuu, dead kabisa Eric siku hz..
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Back
Top Bottom