Ushauri wangu kwa hali hii inayoendelea

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo haya ndio ya maana🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Sio uoga ila ukweli siwezi kwenda kuandamana nikaacha familia haina chakula that why nasema mapema sana hili watu wajue

Leo una poteza biashara ya milion 40 una mkopo bank watu wameiba mali zako una anzia wapi?
Kwako maana ya kuandamana ni kuiba vitu madukani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…