Ushauri wangu kwa Hamisa Mobetto

magis

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
392
Reaction score
590
Hbr wapendwa
Najitokeza kumuusia mdada Hamisa Mobeto.
Sikufahamu lkn nafuatilia kinachoendelea kukuhusu.
Ninafarijika kuwa bado una sehemu ya hofu ya Mungu kwa kuzingatia hata maagizo yanayohitajika katika sala.
Wosia wangu

Ni Mwenyezi Mungu pekee anayegawa riziki,mtegemee.

Ni Mwenyezi Mungu pekee anayewainua waja jiegemeze.

Ni Mwenyezi Mungu pekee anayehukumu nyenyekea.

Jiepushe n'a marumbano.
Heshima yako ni Nuru kwako n'a kizazi chako.

Usikufuru kwa ulichopewa n'a Mwenyezi Mungu.

Hata kukaa kimya pia ni majibu kwa wenye hekima
Kila la kheri.
 
Kashajitangaza yupo single hana uhusiano na mume wa mtu mwaka unapoishia.. tho alikuwa anamalizia mwaka kwa miaka minne iliyopita bila kuwa na huyo mwanaume wa mtu.

Jina Mungu msiwe mnalichezea hivi kwa msiowafahamu.. wenzenu wengineo ni voodoo kwa kwenda mbele.
 
Hamissa tu ndo anastahili ushauri sio?haya bana. Ila ungekua fair kama ungetoa Ushauri pia na kwa upande wa pili
Si kwamba sioni umuhimu wa kuushauri upande wa pili lkn naona dada Hamisa ni kama anaonewa.Haiwezekani ukawa baba bora huku ukimuaibisha Mama wa mtoto wako.
Kama hakuwa hitajio basi asingemfuata. Kumuumiza kwa kujionesha ni kheri Hamisi awe kimya.
 
Pamoja mkuu
 
Hamisa mdogo wangu unamhitaji Yesu Kristo ndio anaweza kukuponya majeraha yako
sisi tunaweza tusijue mengi yaliyotokea katoka mahusiano yako na Diamond hata mkakubaliana kuzaa mtoto..
Kwa hiyo kwa sababu kesha amua kufanya maamuzi ya kukuacha na kuwa na mama wa watoto wake wawili na kukusudia kumuoa ...

achilia hayo move on Mungu atakupa mume mwingine ..najua inauma sana lakini jipe moyo move forward na anza maisha mapya na Yesu
 
Unataka kusema bi Tukinao ni voodoo [emoji849][emoji15]
 
Ipo siku watakumbuka huu ushauri mnaoutoa japokuwa hawatowaambia.

Maana naona pande zote tatu hazijitambui.
 
Well said
 
Si kwamba sioni umuhimu wa kuushauri upande wa pili lkn naona dada Hamisa ni kama anaonewa.Haiwezekani ukawa baba bora huku ukimuaibisha Mama wa mtoto wako.
Kama hakuwa hitajio basi asingemfuata. Kumuumiza kwa kujionesha ni kheri Hamisi awe kimya.
Kabsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…