Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Wamenyanyasa sana watu hawa watu. Sasa wakati wao umefika. Wajiangalie na wajiandaeHapo kuna mmoja lazima atatolewa kwenye nafasi yake
DPP kwakweli a aondolewe, Pia inatakiwa tujue Yale mabilioni waliyokuwa wanalipa watuhumiwa kwenye sheria mpya ya plea bargen ,yaliwekwa kweny account gani,,
Na historia ni Mwalimu mzuri sanaHuwa historia hujirudia kwa uzuri au kwa ubaya
Hawezi kabisa kupona kwenye kutumika vibaya na utawala wa Hayati.DPP afai ofisi yake imehusika kubambika watu kesi.Makando ya jiwe yaende nae
Kabisa mkuuHuwa historia hujirudia kwa uzuri au kwa ubaya
Asipotubu atakufa.Anatakiwa ajiangalie sana. Ana machozi ya watu wengi sana mikononi mwake.
Biswalo ni mpuuzi sana afsa usalama huyu ,kwann hakuruhusu akili yake ifanye kazi..mdogo wake ni afsa usalama wilaya Fulani nyanda zajuu kusini huko.....nimwerevu sana mdogowake nashangaa yeye
Wana lipi la kusema zaidi ya aibu ngoja tuendelee kusikia madudu ya maswaibaMataga wamepoteana.
Ametumika vibaya sana kutenda dhuluma huyu,kuweka ndani watu miaka eti ushahidi aujakamilika,nao wakae ndani wasubirie ushahidi kukamilika Ili waone machungu.Hawezi kabisa kupona kwenye kutumika vibaya na utawala wa Hayati.
Machozi ya kina Kabendera, Tito Magoti, Mdude Nyangari na kina Godbless Lema lazima yaende nae. Hawezi kwepa haya.