Ushauri wangu kwa Lemutuz

Ushauri wangu kwa Lemutuz

Le kibamia![emoji53][emoji53][emoji53]
 

Attachments

  • Stori+ya+Gongowazi+inafanana+SANA+na+stori+ya+Mjomba+Mkude%28tamka+hili+jina+kwa+l.jpg
    Stori+ya+Gongowazi+inafanana+SANA+na+stori+ya+Mjomba+Mkude%28tamka+hili+jina+kwa+l.jpg
    12.4 KB · Views: 45
Leo kwenye account yake ya Instagram amesema hataki ushauri kamaliza mjadala
 
Leo Shilawadu wanauza Necklace za Viba100 vinapatikana Kwenye duka la Born2Shine Mwenge.
 
Natoa ushauri wangu wa bure kwa Lemutuz aache kabisa kutoka na watoto maana leo kadhalilishwa mpaka tumeona tusivyotakiwa kuona.

Please oa kabisa, sidhani kama angekua mkeo angefanya kitendo hicho. Laana ya zinaa ndo hiyo unabaki kudhalilishwa na wajukuu halafu ndo wamemrushia hasimu wako kipele kikapata mkunaji.
Sasa hata akioa huyo mke atamfanyia nini na hako kafilimbi??
 
Mimi huwa nawashangaa wanaume,mkiwa na hadhi kubwa tafuteni watu wa hadhi yenu.Wakina Chiku n Chausiku wana watu wao jamani.
Mpo kitandani kila mtu bussy na simu!!Ajabu
nimekupenda bure kwa ulichotushauri
 
asee ingekuwa mimi sitoki nje mwezi. Halafu video imesambaa IG, whatsapp groups, youtube, jamii forums kama upepo! Mshkaji anahitaji ushauri wenu jamani la sivyo tutampoteza tusimlaumu.
Nahama nchi
 
Yani ni ku.mamake hilo tukio sijapenda ila jamaa nae anaforce king sana
 
LIVE STRAIGHT TALK
Ha ha h ha ha ha ha ha.......
You know Mimi ni le akiliz kubwa u know... na kamwe la debezi tupuz hamuwezi kufikia level zangu za ubunifu kupambanaz na wajingaz hasa huyu lechanguz aliyefikiri amenirekodi le utupuz wangu hahahahahahaha,............
You know.....ngoja niwape shule debez tupu mujuwe jinsi nilivyo cheza na akili za majingaz hahahahah..... U know mimi nikiwa US nilisomea degree ya cheating technology ndio maana madebe tupuz kama hawa huwa nawaweza kila leo....maana mimi ni akili kubwaz.......
U know mimi nina towel maalum ambalo nimelishonea kwa mbele betri dogo la National hivyo baada ya kugundua Le Super mtindiz niliyekuwa nae anataka kuwafaidisha watu na kuwaonesha watu lemchamchapiozi wangu basi....nikaamua ku apply degree yangu ya cheating techology....u knw....niliamua kuvaa lile towel lenye betri dogo mbele .....uknw le akiliz ndogo lazima ajue ule ni uume na ni kibamia... hahahahaha kumbe ni betri...........
Uknw thats why i call my self le akili kubwaz the king of all social media hahahaha
Uknow yule super lemutindiz kama angefanikiwa kurekodi lemchapiozi wangu hahahahaha you know ningesumbuliwa sana maana si mchezo......U know napawa pole le akili ndogozi na madebe matupu kwa kuingia mkenge.......

hahahahahahahahahahaha
The King of all social net work.....
Yani huyu bwana ni mzigo
 
Chama cha wafuga vitambi na mabonge(CHAWAVIMA) kimeitisha kikao cha kamati kuu baada ya hapo kitakuja na maazimio juu ya udhalilishaji uliofanywa na huyo dada!
Dah sijapenda k.umamake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kauanza mwaka kwa style ya kipekee.

Pole yake au hongera yake maana amevuna alichopanda.

Ila huyu dada aliyemrekodi, awe makini. Jamaa anaweza kumfanyia kitu mbaaaya kabisa.
 
Hakuna aibu kubwa mbinguni na duniani kama mtoto wa kiume kujulikana hadharani tena kwa ushahidi usio na shaka kuwa una KIBAMIA
 
Back
Top Bottom