Ushauri wangu kwa Lemutuz

Leo kwenye account yake ya Instagram amesema hataki ushauri kamaliza mjadala
 
Leo Shilawadu wanauza Necklace za Viba100 vinapatikana Kwenye duka la Born2Shine Mwenge.
 
Sasa hata akioa huyo mke atamfanyia nini na hako kafilimbi??
 
Mimi huwa nawashangaa wanaume,mkiwa na hadhi kubwa tafuteni watu wa hadhi yenu.Wakina Chiku n Chausiku wana watu wao jamani.
Mpo kitandani kila mtu bussy na simu!!Ajabu
nimekupenda bure kwa ulichotushauri
 
asee ingekuwa mimi sitoki nje mwezi. Halafu video imesambaa IG, whatsapp groups, youtube, jamii forums kama upepo! Mshkaji anahitaji ushauri wenu jamani la sivyo tutampoteza tusimlaumu.
Nahama nchi
 
Yani ni ku.mamake hilo tukio sijapenda ila jamaa nae anaforce king sana
 
Yani huyu bwana ni mzigo
 
Chama cha wafuga vitambi na mabonge(CHAWAVIMA) kimeitisha kikao cha kamati kuu baada ya hapo kitakuja na maazimio juu ya udhalilishaji uliofanywa na huyo dada!
Dah sijapenda k.umamake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kauanza mwaka kwa style ya kipekee.

Pole yake au hongera yake maana amevuna alichopanda.

Ila huyu dada aliyemrekodi, awe makini. Jamaa anaweza kumfanyia kitu mbaaaya kabisa.
 
Hakuna aibu kubwa mbinguni na duniani kama mtoto wa kiume kujulikana hadharani tena kwa ushahidi usio na shaka kuwa una KIBAMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…