Ushauri wangu kwa Lemutuz

Yani aibu balaa na kichumba ka stoo mlango wa Z behind... mitandao ni ya kuogopwa, simu sio sehemu salama ya kuweka vitu kama hivi inaweza isivujishwe ila ikaibwa au kupelekwa kwa fundi basi tafrani.
Ezden alikoma kabisa sasa naona na hii kubwa jinga atajifunza
 
huu ushauri mpe lemutuz, kuna wanaume wangapi nchi hii kwnn yy kla cku
 
Ndio maana kuna sheria kali kuzuia picha kama hizo na teknolojia ilivyoadvance camera inaweza kuwa micro size drone spycamera, camera inaweza kuwa very small undetectable au kama pen, sasa nani anaweza kuwa salama hapo.
Mods muache mambo ya udaku kuonyesha picha za utupu za watu kwani wana ndugu zao watoto wao na friends
 
Kwani hawa watoto anao toka nao hawana wazazi. Jama ache uzinzi
 

Wacha povu wewe kujiona holier than tho. Kwani walipofanya huo ujinga hawakujua kama wana ndugu au watoto? au watoto wanakuwa muhimu ujinga kama huu ukiwa public?

Hawa hawa ndo unakuta kila siku wanapiga kelele dhidi ya ushoga, uvaaji na takataka nyinginezo kwamba zinavunja maadili ya taifa! Kumbe ni vinara wa kufanya ufirauni! Wahenga wanasema usipende kurusha mawe kama unaishi kwenye nyumba ya vioo!

Kitendo hiki hata Haijalishi kafanyiwa nani..si kitendo kizuri. Lakini nature ya watu kama Le mutuz wanaotafuta umaarufu kwa nguvu..I can even suspect kwamba anafurahia anavyojadiliwa mitandaoni! .....being 'famous' is addictive! Na huyu jamaa kitendo kwamba "anajiweka" karibu na wenye serikali.....he is always trying to be and remain relevant. At any cost.

Le mutuz ajitafakari. Ameishapita foolish age!
 
Kafanya nini tena huyo baba yangu mdogo
 
Aibu sana, ila mwenyewe kishajitetea kuwa ana mashine pale katoka tu kuoga maji ya baridi ndo maana kimeonekana vile....ila huyu baba hapana!!!!!
Na aliemrekodi hajafanya vizuri
Nkiki tena babu kafanya nini siwasomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…