Ushauri wangu kwa Lemutuz

Ushauri wangu kwa Lemutuz

Yani nimeamini mwanaume anaejionesha onesha kuwa ye ni mtu wa mabinti ujue hakuna kitu pale!!!!!
Kama sio hanithi basi ana kilemutuz
Yani mi mwenyewe nilijua jama ana bonge la muhogo kumbe nukta. Yani naona kinamsaidia tu kukojoa mkojo wakawaida and not otherwise
 
Yani mi mwenyewe nilijua jama ana bonge la muhogo kumbe nukta. Yani naona kinamsaidia tu kukojoa mkojo wakawaida and not otherwise
Mnamvua nguo babu msimseme mpeni mechi kujua ukweli unaweza kukuta ndio size yenu hiyo [emoji2]
 
Natoa ushauri wangu wa bure kwa Lemutuz aache kabisa kutoka na watoto maana leo kadhalilishwa mpaka tumeona tusivyotakiwa kuona.

Please oa kabisa, sidhani kama angekua mkeo angefanya kitendo hicho. Laana ya zinaa ndo hiyo unabaki kudhalilishwa na wajukuu halafu ndo wamemrushia hasimu wako kipele kikapata mkunaji.
Hivi kwani hajaoa?na hana watoto? Le mbebrez kweli!?
 
Wacha povu wewe kujiona holier than tho. Kwani walipofanya huo ujinga hawakujua kama wana ndugu au watoto? au watoto wanakuwa muhimu ujinga kama huu ukiwa public?

Hawa hawa ndo unakuta kila siku wanapiga kelele dhidi ya ushoga, uvaaji na takataka nyinginezo kwamba zinavunja maadili ya taifa! Kumbe ni vinara wa kufanya ufirauni! Wahenga wanasema usipende kurusha mawe kama unaishi kwenye nyumba ya vioo!

Kitendo hiki hata Haijalishi kafanyiwa nani..si kitendo kizuri. Lakini nature ya watu kama Le mutuz wanaotafuta umaarufu kwa nguvu..I can even suspect kwamba anafurahia anavyojadiliwa mitandaoni! .....being 'famous' is addictive! Na huyu jamaa kitendo kwamba "anajiweka" karibu na wenye serikali.....he is always trying to be and remain relevant. At any cost.

Le mutuz ajitafakari. Ameishapita foolish age!
Sio suala la kuwa Holier ni simple reasoning, whatever motivation kitendo cha kuonyesha picha za utupu si kizuri hata wewe inaweza kukuta si watu wanakuset kwenye mtego tu
 
Back
Top Bottom