Ushauri wangu kwa Lemutuz

Ushauri wangu kwa Lemutuz

Hizi simu hizi hazitawaacha watu salama, tatizo lingine ni huyu lemutuz kujifanya fyatu na hamnazo muda wote matokeo yake ndio haya, nikiangalia vitu anavyovifanya kwa sasa najiuliza wakati wake alikuwa wapi.
le mutuz mjanja toka kitambo anakula bata tu...alishakuwa DJ , baharia huyo toka 90s hayo ndio maisha yake toka zamani
 
Hata kama mna uadui kiasi gani si kitu kizuri kutaka kumdhalilisha mtu ktk jamii.
pili visibility ni very poor.
Tatu mwanaume akitoka kuoga shrinkage au uume kusinyaa ni kitu cha kawaida.
This is extremely very low for secret video shooter.
Tusifurahie aibu za wenzetu hata kama wana mapungufu.
Ungejua huyo lemutuz anavyomchambaga Mange kuhusu kifo cha baba yake usingemtetea hapa!
 
Ni Le Mutuz huyo..mbona kama awafanani?

Kama ni yeye na anamfaamu aliyemrekodi amfungulie kesi. Ni kosa kurekodi mtu.
 
Hivi angekuwa Le Mutuz ndio kamrekodi mwanamke halafu akaiweka instagram. Pangekalika?
 
Jamaa hajari hayo mambo. Hayamuhusu. Nendeni wanakoimba kareoke mtamkuta na mbebezi
 
Kinachonishangaza kutoka kwenu nyie wanaume kwa issue hii ni:

1.Hamjaona kama mwanamume mwenzenu kadhalilishwa na hii ni dalili pia ya nyie. Kaka zenu. Baba zenu nk kudhalilishwa kwa Mitindo hii.
2.Hamjamlaani kama wanaume mtu mjinga kama Mange kwa kufanya kitendo kisicho cha ustaarabu na amekuwa anafanya Hivi Mara nyingi tu .ingawa mjue Mange Yeye ni mdakaji tu. Kumbe mna wadada wengi uko kwenu hawana courage Ila Mange anawapa Platform ya ujinga huuu.
3.Mambo ya maumbile ni Zawadi sasa kila mtu na mtu wake. Nyie wanaume ni hatari kuanza kufanya mambo yenu kuwa kigezo cha kudhalilishana.
4.mnashusha sana hadhi yenu humu JF
 
Kilichotokea ni fedhea kubwa kama binadamu. It isn't right at all
 
Kinachonishangaza kutoka kwenu nyie wanaume kwa issue hii ni:

1.Hamjaona kama mwanamume mwenzenu kadhalilishwa na hii ni dalili pia ya nyie. Kaka zenu. Baba zenu nk kudhalilishwa kwa Mitindo hii.
2.Hamjamlaani kama wanaume mtu mjinga kama Mange kwa kufanya kitendo kisicho cha ustaarabu na amekuwa anafanya Hivi Mara nyingi tu .ingawa mjue Mange Yeye ni mdakaji tu. Kumbe mna wadada wengi uko kwenu hawana courage Ila Mange anawapa Platform ya ujinga huuu.
3.Mambo ya maumbile ni Zawadi sasa kila mtu na mtu wake. Nyie wanaume ni hatari kuanza kufanya mambo yenu kuwa kigezo cha kudhalilishana.
4.mnashusha sana hadhi yenu humu JF na mbaya zaidi CHADEMA Ndo huyu MANGE katibu muenezi Wa siasa. Sasa mkishika Nchi mtampa nini. Ubunge Au uwaziri. Mana alikuwa CCM sasa Kakosa yupo kwenu. Kesho na keshokutwa mtakuta mzigo Wa mboweee hapa au Lissu mana kwa kutazama tu Lissu Janga La VIBAMIA HALITAMPITA MBALI. kazi kwenu. Andaeni maji kabisa ya kunyolewa
Mambo ya chadema yanahusika vp hapa?!
 
On the other side,huyu mzee akijiua leo kisa aibu hii,lawama ni ya nani?
Mi sijui.
Ila tujifunze kuwa kumuaibisha mtu kisa umbile asiloweza kubadilisha sio vizuri.Hamna mtu anapenda.
Ila ndo hivyo the world isn't fair.Siasa ndo zilivyo,watu wanauwana na kuaibishana daily.Labda ndo the cost of power.
Majibaba kibao huko Ni malaya ila hawajachukuliwa video akachukuliwa jamaa.Ndo hivyo yani the world isn't fair.Na huwezi kuwa na vyote.Especially when you are stupid.
Kwa hiyo tujifunze.
 
Back
Top Bottom