Ushauri wangu kwa Lemutuz

Ushauri wangu kwa Lemutuz

Aibu sana, ila mwenyewe kishajitetea kuwa ana mashine pale katoka tu kuoga maji ya baridi ndo maana kimeonekana vile....ila huyu baba hapana!!!!!
Na aliemrekodi hajafanya vizuri
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...
Huyo jamaa kweli hamnazo.
Mi nikajua atakanusha kwamba aliyerekodiwa sio yeyee!!.
 
Natoa ushauri wangu wa bure kwa Lemutuz aache kabisa kutoka na watoto maana leo kadhalilishwa mpaka tumeona tusivyotakiwa kuona.

Please oa kabisa, sidhani kama angekua mkeo angefanya kitendo hicho. Laana ya zinaa ndo hiyo unabaki kudhalilishwa na wajukuu halafu ndo wamemrushia hasimu wako kipele kikapata mkunaji.
umaarufu umemfanya akapata aibu ya maishani.
 
Sijui watu wanaconclude vipi kuwa hiyo video imepigwa na under 20.

Hiyo siyo akili ya under 20,aliepiga ni mtu mzima above 25.

Nashangaa watu eti wanamwonea huruma lemutuz wakati mwenyewe anaona kawaida tu
 
Sijui watu wanaconclude vipi kuwa hiyo video imepigwa na under 20.

Hiyo siyo akili ya under 20,aliepiga ni mtu mzima above 25.

Nashangaa watu eti wanamwonea huruma lemutuz wakati mwenyewe anaona kawaida tu
Serves him right,
 
asee ingekuwa mimi sitoki nje mwezi. Halafu video imesambaa IG, whatsapp groups, youtube, jamii forums kama upepo! Mshkaji anahitaji ushauri wenu jamani la sivyo tutampoteza tusimlaumu.
 
Iv ndugu zake wa karibu, hususan wa kike, watoto wake, hawajaona kweli!
 
Kinachonishangaza kutoka kwenu nyie wanaume kwa issue hii ni:

1.Hamjaona kama mwanamume mwenzenu kadhalilishwa na hii ni dalili pia ya nyie. Kaka zenu. Baba zenu nk kudhalilishwa kwa Mitindo hii.
2.Hamjamlaani kama wanaume mtu mjinga kama Mange kwa kufanya kitendo kisicho cha ustaarabu na amekuwa anafanya Hivi Mara nyingi tu .ingawa mjue Mange Yeye ni mdakaji tu. Kumbe mna wadada wengi uko kwenu hawana courage Ila Mange anawapa Platform ya ujinga huuu.
3.Mambo ya maumbile ni Zawadi sasa kila mtu na mtu wake. Nyie wanaume ni hatari kuanza kufanya mambo yenu kuwa kigezo cha kudhalilishana.
4.mnashusha sana hadhi yenu humu JF
Pole kama imekuuma but inshort Lemutuz mwenyewe anapenda kujidhalilisha kulumbana na wanawake...hayo ndo matunda yake nadhani hata aliyempiga picha ni mwanamke na ana yake ya moyoni...
 
Back
Top Bottom