Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu habari zenu?
Wakuu nilikuwa nataka niwashauri na wewe pia toa ushauri wako nini kifanyike ili marefa wetu wa ligi yetu pendwa ya bongo wawe wanatoa uamuzi sahihi na wa ukweli kama ilivyo.
Ushauri wangu.
Marefa wetu wanatakiwa wakapimwe macho kama wanamatatizo ya kutokuona mbali na karibu watibiwe vizuri.wawe wanakula carrot maana carrot inasaidia mtu aweze kuona vizuri.
Hao marefa wote wa pembeni na wa kati wote wawewana shauriwa na kocha wa marefa kufocus kwenye mechi na kutokupoteza concetration kwenye mechi,na sio refa muda mwingi anawaza anachojisikia yeye na sio refa home huko ana mawazo yake anakuja kuchezesha mpira au kushika kibendera uwanjani.halafu hakuna watu wakuwa simamia uwanjani.
Nakumbuka miaka ya zamani nilishawahi kuwa refa kwenye mechi hivi wakaniambia mkuu ladder 49 chezesha mechi nikashika kipyenga, kipindi cha pili nilimwagiwa maji na watu walianza kunipigia kelele sichezeshi vizuri.
nilichokigundua ni kwamba ukiwa unachezesha mpira unakuwa na mawazo mengine ya mambo yako ya miangaiko yako,tukio limetokea sio kwamba ujaliona umeliona ila wewe ulikuwa una mawazo yako ya tofauti na uwanjani.na kumbuka hapo matukio yanatokea ni kitendo cha mara moja tu imepita hiyo.
Kingine ni kuongeza marefa wengine karibu na goli refa mmoja kwenye kila goli ,kama wanavyofanyaga uefa champions ligi,yaani refa anakuwa karibu na goli pale kwa kipa.
Ni hayo tu wakuu, ongezea na ya kwako hapo chini.
Sent from my iPhone using JamiiForums