Ushauri wangu kwa marefa wa kibongo msimu wa 2019/2020

Ushauri wangu kwa marefa wa kibongo msimu wa 2019/2020

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu habari zenu?

Wakuu nilikuwa nataka niwashauri na wewe pia toa ushauri wako nini kifanyike ili marefa wetu wa ligi yetu pendwa ya bongo wawe wanatoa uamuzi sahihi na wa ukweli kama ilivyo.

Ushauri wangu.

Marefa wetu wanatakiwa wakapimwe macho kama wanamatatizo ya kutokuona mbali na karibu watibiwe vizuri.wawe wanakula carrot maana carrot inasaidia mtu aweze kuona vizuri.

Hao marefa wote wa pembeni na wa kati wote wawewana shauriwa na kocha wa marefa kufocus kwenye mechi na kutokupoteza concetration kwenye mechi,na sio refa muda mwingi anawaza anachojisikia yeye na sio refa home huko ana mawazo yake anakuja kuchezesha mpira au kushika kibendera uwanjani.halafu hakuna watu wakuwa simamia uwanjani.

Nakumbuka miaka ya zamani nilishawahi kuwa refa kwenye mechi hivi wakaniambia mkuu ladder 49 chezesha mechi nikashika kipyenga, kipindi cha pili nilimwagiwa maji na watu walianza kunipigia kelele sichezeshi vizuri.

nilichokigundua ni kwamba ukiwa unachezesha mpira unakuwa na mawazo mengine ya mambo yako ya miangaiko yako,tukio limetokea sio kwamba ujaliona umeliona ila wewe ulikuwa una mawazo yako ya tofauti na uwanjani.na kumbuka hapo matukio yanatokea ni kitendo cha mara moja tu imepita hiyo.

Kingine ni kuongeza marefa wengine karibu na goli refa mmoja kwenye kila goli ,kama wanavyofanyaga uefa champions ligi,yaani refa anakuwa karibu na goli pale kwa kipa.

Ni hayo tu wakuu, ongezea na ya kwako hapo chini.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu habari zenu?

Wakuu nilikuwa nataka niwashauri na wewe pia toa ushauri wako nini kifanyike ili marefa wetu wa ligi yetu pendwa ya bongo wawe wanatoa uamuzi sahihi na wa ukweli kama ilivyo.

Ushauri wangu.

Marefa wetu wanatakiwa wakapimwe macho kama wanamatatizo ya kutokuona mbali na karibu watibiwe vizuri.wawe wanakula carrot maana carrot inasaidia mtu aweze kuona vizuri.

Hao marefa wote wa pembeni na wa kati wote wawewana shauriwa na kocha wa marefa kufocus kwenye mechi na kutokupoteza concetration kwenye mechi,na sio refa muda mwingi anawaza anachojisikia yeye na sio refa home huko ana mawazo yake anakuja kuchezesha mpira au kushika kibendera uwanjani.halafu hakuna watu wakuwa simamia uwanjani.

Nakumbuka miaka ya zamani nilishawahi kuwa refa kwenye mechi hivi wakaniambia mkuu ladder 49 chezesha mechi nikashika kipyenga, kipindi cha pili nilimwagiwa maji na watu walianza kunipigia kelele sichezeshi vizuri.

nilichokigundua ni kwamba ukiwa unachezesha mpira unakuwa na mawazo mengine ya mambo yako ya miangaiko, tukio limetokea sio kwamba ujaliona umeliona ila wewe ulikuwa una mawazo yako ya tofauti na uwanjani.na kumbuka hapo matukio yanatokea ni kitendo cha mara moja tu imepita hiyo.

Kilicho tokea kwenye Mechi ya yanga na lipuli jana kipa kadaka mpira ambao uko ndani ya goli mshika kibendera anasema eti kona na refa wa ndani na yeye anakubali kona.

Na kilichotokea kwenye mechi ya simba na Polisi ilikuwa ni clear offside kabisa maana bocco alikuwa ametangulia sana mbele ijakuwa close kabisa,lakini wanasema ni onside.ingekuwa wachezaji wako close kabisa ingekuwa ngumu kujua lakini mmoja yuko mbele kabisa.

Kwenye mechi ya yanga mtazamo wangu hapa ni kwamba mshika kibendera alifikiria ule mpira ulitokea pembeni ya goli na sio ndani ya goli,hapo tafsiri ni kwamba hao marefa wanamawazo tofauti na hapo uwanjani,hapo inawezekana mmewakurupua akili zilikuwa aziko hapo kama sio hivyo wanamatatizo ya kutokuona mbali .carrot zinawahusu.

Kingine ni kuongeza marefa wengine karibu na goli refa mmoja kwenye kila goli ,kama wanavyofanyaga uefa champions ligi,yaani refa anakuwa karibu na goli pale kwa kipa.

Ni hayo tu watu ongezea na ya kwako hapo chini.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hapo ulipo uliposema kuwa "Kilicho tokea kwenye Mechi ya yanga na lipuli jana kipa kadaka mpira ambao uko ndani ya goli mshika kibendera anasema eti kona na refa wa ndani na yeye anakubali kona."

Naomba utuambie ilikuwa goli au sio goli. Kama ni goli embu tuwekee uthibitisho wa mpira kuvuka goal line. Tuoneshe position ya mpira dhidi ya goal line.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UZI ulikuwa mzuri hadi pale ulipoiingiza yanga, kwamba ety ule mpira ulidakwa ukiwa umeingia ndani ya goli ili upate cha kubalance kuhusu madhaifu ya maamuzi yanayoendelea kutokea simba mechi hadi mechi.
 
Uthibitisho ni msaidizi wa mwamuzi aliuona umevuka mstari.

Video zinaonesha mpira umevuka mstari.Mpiga picha wa Azam ni mnazi wa Yanga saana kiasi kwamba aliona aibu kuendelea kumulika camera kwenye tukio hilo.Tuna mjua kwani matukio yote yenye utata ya Yanga huwa hayarudii kabisa.Ila iliwa kwa Simba litarudiwa hadi awashawishi watangazaji walitolee maoni.
Hapo ulipo uliposema kuwa "Kilicho tokea kwenye Mechi ya yanga na lipuli jana kipa kadaka mpira ambao uko ndani ya goli mshika kibendera anasema eti kona na refa wa ndani na yeye anakubali kona."

Naomba utuambie ilikuwa goli au sio goli. Kama ni goli embu tuwekee uthibitisho wa mpira kuvuka goal line. Tuoneshe position ya mpira dhidi ya goal line.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yote hayo bila kuwalipa vizuri hamna kitakacho fanyika,

Waamuzi anaenda kwenye mechi hana hata hela ya lodge, waamuzi hawajalipwa baadhi ya pesa za msimu uliopita na huu pia,

Kupata hela za usafiri tabu tupu . .

TFF ndo tatizo katika soka letu

Waamuzi wanapaswa kulipwa vizuri na kwa wakati utaona kama makosa ya kijinga kama haya yatatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom