Ushauri wangu kwa Rais Samia kuhusu treni ya umeme (SGR)

buswagg

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2023
Posts
728
Reaction score
1,352
In short wananchi tunafahamu weakness walonayo viongozi wengi serikalini ,

Sio waoga kuiba by any means, yani upenyo mdogo tu wanaharibu kila kitu, pia ni very slow thinkers, pia mifumo ya usimamizi wa mashirika makubwa ya serikali unaamuliwa na wana siasa na sio wasomi walobobea, so hua hakuna any improvement kwenye hayo mashirika zaidi ya ukiritimba na kufa kifo cha taratibu kama mwendo kasi ulivotaka kuanza kufa, yapo mengiila now nisiandike sana,

so serikali mkitaka hizi treni ziendele kuimalika na kusimama vizuri wapeni private investors tu, serikali ibaki kua msimamizi na mtoa muongozo, hasa wa kusimania prices na maboresho ili wananchi wasinyonywe na miundombinu iwe inarekebishwa mala kwa mala na hayo makampuni yatakayokua yanasimamia, na ipokee kodi tu, na mikataba ya muda mfupi mfupi, 3 yeas maxmum, manamtathmini then alinew mkataka au aje mwingine..
,
USHAURI WANGU

Tuwape investors wa China, Korea, Japan au US, huu mradi wauendeshe wao, sababu nimeshuhudia wao hufanya vizuri sana kwenye kuendesha mashirika ya hizi SGR thing, na huweka system bora sana za kudeal na wateja wanaotumia, hata huongeza technology nzuri sana na kuwa rahisi sana kwa watumiaji. Only best system itasimamia huu mradi vizuri.

MH. Rais Samia Suluhu Hassan, please zingatia ushauri wangu, utakuja kunielewa hiki nachozungumza sasa. Ukitaka mradi uendelee kuimarika, please find investors from those countries, or even anywhere, ila wasiwe wahindi wala waarabu[emoji19], cas hao ni worse kwenye hili, yani bora hata watz 100% kuliko hao, usijaribu hao [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mawazo yako ndiyo yangu, tatizo ni kwamba hawa viongozi wetu wapo kimaslahi sana sana.

Mfano inawezekana kabisa akapewa msimamizi mwingine ila wanawaza huyo mzabuni lazima akubali matakwa yao ya pembeni yale ya 10percent ili apewe mradi.

Na hiyo ndiyo inaleta wizi na magumashi ya mradi kufa kifo cha membe huko mbele, sababu mwekezaji anataka faida, aliyempa mradi anataka faida bado ukarabati nk, na serikali inataka mapato.

Afrika afrika will never mature!.
 
Mnachokonoa vituo vya kupoozea umeme ili mpate leverage ya kujimilikisha rasilimali ya wananchi ya zaidi ya dollar bilioni 10?! Hapana.., tutaweza wenyewe..
 
Mawazo yako ndiyo yangu, tatizo ni kwamba hawa viongozi wetu wapo kimaslahi sana sana.

Mfano inawezekana kabisa akapewa msimamizi mwingine ila wanawaza huyo mzabuni lazima akubali matakwa yao ya pembeni yale ya 10percent ili apewe mradi.

Na hiyo ndiyo inaleta wizi na magumashi ya mradi kufa kifo cha membe huko mbele, sababu mwekezaji anataka faida, aliyempa mradi anataka faida bado ukarabati nk, na serikali inataka mapato.

Afrika afrika will never mature!.
Mkataba uwe wa wazi sio wa siri, ili mamlaka zote za juu ziwe zinafatilia na kukagua kila jambo, asipewe mtu mmoja au wachache kusimamia mywekezaji. Bunge liwe linaidhinisha kila kitu kuhusu mradi. Mgawanyo wote na issue zingine za muwekezaji ziwe zinapitia bungeni kwenda mamlaka husika, na sio mkurugenzi sjui waxiri au board flani ndio iwe inaamua kila kitu, big no.

Mkataba uwe wa wazi ili kutoa mianya ya kuiba kwa kuwapa wawekezaji mashart ya kumfaidisha anaetoa go ahead, kila jambo lipitie bungeni full stop
 
In short wananchi tunafahamu weakness walonayo viongozi wengi serikalini ,

Sio waoga kuiba by any means, yani upenyo mdogo tu wanaharibu kila kitu, pia ni very slow thinkers, pia mifumo ya usimamizi wa mashirika makubwa ya serikali unaamuliwa na wana siasa na sio wasomi walobobea, so hua hakuna any improvement kwenye hayo mashirika zaidi ya ukiritimba na kufa kifo cha taratibu kama mwendo kasi ulivotaka kuanza kufa, yapo mengiila now nisiandike sana,

so serikali mkitaka hizi treni ziendele kuimalika na kusimama vizuri wapeni private investors tu, serikali ibaki kua msimamizi na mtoa muongozo, hasa wa kusimania prices na maboresho ili wananchi wasinyonywe na miundombinu iwe inarekebishwa mala kwa mala na hayo makampuni yatakayokua yanasimamia, na ipokee kodi tu, na mikataba ya muda mfupi mfupi, 3 yeas maxmum, manamtathmini then alinew mkataka au aje mwingine..
,
USHAURI WANGU

Tuwape investors wa China, Korea, Japan au US, huu mradi wauendeshe wao, sababu nimeshuhudia wao hufanya vizuri sana kwenye kuendesha mashirika ya hizi SGR thing, na huweka system bora sana za kudeal na wateja wanaotumia, hata huongeza technology nzuri sana na kuwa rahisi sana kwa watumiaji. Only best system itasimamia huu mradi vizuri.

MH. Rais Samia Suluhu Hassan, please zingatia ushauri wangu, utakuja kunielewa hiki nachozungumza sasa. Ukitaka mradi uendelee kuimarika, please find investors from those countries, or even anywhere, ila wasiwe wahindi wala waarabu[emoji19], cas hao ni worse kwenye hili, yani bora hata watz 100% kuliko hao, usijaribu hao [emoji120][emoji120][emoji120]
Tunapenda kushauri kwa kubuni! Hivi Unajua faida ya SGR ni Kubeba Mizigo? Je, umeona Reli ya SGR ikielekea Bandarini?
 
so serikali mkitaka hizi treni ziendele kuimalika na kusimama vizuri wapeni private investors tu, serikali ibaki kua msimamizi na mtoa muongozo, hasa wa kusimania prices na maboresho ili wananchi wasinyonywe na miundombinu iwe inarekebishwa mala kwa mala na hayo makampuni yatakayokua yanasimamia, na ipokee kodi tu, na mikataba ya muda mfupi mfupi, 3 yeas maxmum, manamtathmini then alinew mkataka au aje mwingine..
Tujaribu tuwape JW
 
Tunapenda kushauri kwa kubuni! Hivi Unajua faida ya SGR ni Kubeba Mizigo? Je, umeona Reli ya SGR ikielekea Bandarini?
I know that, na ndio maana next plan ya serikali ni kumake sure inafika bandarini ili kurahisishwa uchukuzi wa mizigo na kupeleka makontena nchi nzima kirahisi, that's the plan, sisi tunashauri kuhusu uongozwaji na utunzaji wa mradi, serikali inaendelea kuimarisha sehemu zingine za mradi..

UENDESHAJI + UTUNZAJI + UBORESHAJI = MATOKEO MAZURI YA MRADI + KUINGIZIA SERIKALI MAPATO
 
Hebu jifunzeni,mambo mengine mwambieni kadogosa sio kila kitu Rais.
 
Sikiliza ndugu yangu bora utoa ushauri kwa viongozi wanaohusika .

Huo ni mwanzo tu, changamoto ni kawaida pia kwa sasa kuna mipango mingi hususani katika kuwaanda wafanyakazi wa hapo hata kwenda kusoma nje.

Bado wabongo wana uwezo wa kuendesha hapo jamani ni suala la kawaida , tusifikie hatua ya kuwa wakali mapema sana je, ikitokea ajali si mtaandamana kabisa ? Ajali zinatokea katika nchi kubwa sembuse hapo .

Biashara imeanza hapo kuna kitengo cha usalama lazima kiwe makini ili mambo kama hayo yasijirudie , mapema sana kuwapa jamaa wale , wamejenga bado wao waendeshe kweli !?

Nawashauri kwa wafanyakazi waliopo wasiishie kuwapa sare nzuri ila wanatakiwa kusoma sana kulingana na viwango ili kutoa huduma za kimataifa . Mambo sio rahisi hiyo ni biashara huwezi kujua ni tatizo la asili au hujuma ..​
 
Hofu yangu ni hilo jina mlilompatia ka deaf frog ameshalikubali na analiishi hivyo hautasikilizwa
 
Back
Top Bottom