Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Haya yote unaandika ukiwa usingizini unaota?Mkataba uwe wa wazi sio wa siri, ili mamlaka zote za juu ziwe zinafatilia na kukagua kila jambo, asipewe mtu mmoja au wachache kusimamia mywekezaji. Bunge liwe linaidhinisha kila kitu kuhusu mradi. Mgawanyo wote na issue zingine za muwekezaji ziwe zinapitia bungeni kwenda mamlaka husika, na sio mkurugenzi sjui waxiri au board flani ndio iwe inaamua kila kitu, big no.
Mkataba uwe wa wazi ili kutoa mianya ya kuiba kwa kuwapa wawekezaji mashart ya kumfaidisha anaetoa go ahead, kila jambo lipitie bungeni full stop
Unaishi Tanzania au nchi gani? Mwekezaji gani atakubali huo mkataba wa wazi hapa Tanzania?
Umelizungumza sana bunge hapo ukiamini bunge lokihusika mambo yanakua mazuri. Bila kujua mikataba yote ya IGA inapitia bungeni, kaangalie mkataba upi ni mzuri
Kaja mwekezaji wa bandari, IGA ikajadiliwa bungeni uliona kipi cha tofauti kilitokea?