Ushauri wangu kwa Rais Samia kuhusu treni ya umeme (SGR)

Haya yote unaandika ukiwa usingizini unaota?
Unaishi Tanzania au nchi gani? Mwekezaji gani atakubali huo mkataba wa wazi hapa Tanzania?
Umelizungumza sana bunge hapo ukiamini bunge lokihusika mambo yanakua mazuri. Bila kujua mikataba yote ya IGA inapitia bungeni, kaangalie mkataba upi ni mzuri
Kaja mwekezaji wa bandari, IGA ikajadiliwa bungeni uliona kipi cha tofauti kilitokea?
 
Una mawazo mazuri, ila jitahidi sana kwenye uandishi wako usichanganye sana lugha hata mahali ambapo hapastahili, wewe unachomekea kiswa-english kila sentensi.

Kama nia ni kumuandikia raisi wa nchi basi rekebisha huu uandishi kijana, tunajua wewe ni msomi na kingereza unakijua huna haja ya kuthibitisha hilo kupitia makala hii yenye madini adhimu, utapoteza lengo ama utapuuzwa na walengwa.

Yangu ni hayo tu kwako.
 
Ndugu yangu umeishaijaribu? Leo mimi asubuhi nimeipanda kutoka Dar hadi Dodoma
 
basi iundwe tume ya kusimamia na kuwaweka sawa wafanyakazi ili wawe smart na good arrangements kazini, wasiachwe wawe kawaida na wafanye wanavojiskia, no! kuwe na rules kali, ukikosea au kuzembea kidogo tu out!

japo bado nasimamia tuanze kumpa muwekezaji kwanza then tuwanoe watu wetu wajifunze kupitia muwekazaji, na serikali ipate feedback vizuri on how to do it then tujipe wenyewe waTz kucontrol everything tuachane na wawekezaji, but sio tuanze sisi, no! watz wataharibu vibaya wakianza wao, tujifunze kwanza then tukae wenyewe
 
Kadogosa ana gundi masikioni, je aliyoambiwa kabla alitekeleza?
No,, Kadogosa is very good la sivyo hata hapa tulipo tusingefikia.Kumbuka wakubwa walikuwa wanataka kupiga Hera Kwa inflate costs na wazabuni,,alijitahidi kupambana na nfiyo maana board ilivunjwa lakini yeye alibaki
 
Shida nyingine ni sheria za ovyo za ajira amabpo mtu akiajiliwa taasisi ya serikali basi Hadi kustafu ..wangeweka loop hole kama private
 
Sharti liwe mkataba wa wazi, hataki aende. Sio lazima vipengere vyote viwe wazi, but vipengele muhimu ambavyo wanasheria wataona viwe public.

Pia, bungeni najua nako wabunge wa hovyo nao wengi tu, but itakua rahisi kwa taarifa kuwafikia wananchi, cas wabungecwatakua wanafunua upuuzi wowote unaoendelea cas wabunge wenye uchungu kweli wapo (japo ni wachache) hivo kuna vitu watakua wanaomba muongozo/ufafanuzi, hio itakua inawapush back kidogo wapuuzi kupunguza upigaji cas wataogopa kujulikana.

all in all tueke muekezaji kwanza afungue njia
 
ok ni sawa mkuu taedit, ni vile kuzoea tu
 
Kila kiti investor acha kujizuma data buda
 
Shida nyingine ni sheria za ovyo za ajira amabpo mtu akiajiliwa taasisi ya serikali basi Hadi kustafu ..wangeweka loop hole kama private
yeah, hii kitu inanikera sana, hebu tubadiri hii sheria ya kipuuzi[emoji34],

zamani in 19c iliwekwa sababu kulikua na uhaba wa wasomi, ila sasa wako wengi hadi wanamwagika, akiwa mzembe na atoke tulete mwingine, sio kuhamishwa.

Mh Samia,.please hebu fanya kurekebisha hii kitu kwenye sheria na mikataba ya kazi, graduates wako wa kutosha na ni best students, iwe mtu akifanya upuuzi kazini atolewe faster aletwe mpya , hii itasaidia kuongeza umakini kazini cas mtu anakua anajua kabisa nikiharibu kidogo tu kazi sina
 
Hata umpee nani kama treni zipo ovyoo hakuna atakachowezaa.. ni sawa na mradi wa mwendokasi kwa sasaa hakuna namna mkurugenzi anaweza kutoa huduma bora maana magari yote ni hovyooo sanaa...! Kama hawakununua kichwa bora kwa ajili ya kutoa huduma sahihi ni lawmaaaa tuu kila siku fundi atashika spanaaa
 
Siri ya kambi
 
No,, Kadogosa is very good la sivyo hata hapa tulipo tusingefikia.Kumbuka wakubwa walikuwa wanataka kupiga Hera Kwa inflate costs na wazabuni,,alijitahidi kupambana na nfiyo maana board ilivunjwa lakini yeye alibaki
Wanaongea lugha moja na CAG?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…