Ushauri wangu kwa Raisi Uhuru Kenya, Do The Unthinkable, Now!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Tumia madaraka yako ya Uraisi na simamisha Katiba kwa sasa na ongoza nchi nguvu mpaka hali itakapotengemaa, ni lazima ulifanye sasa hvi kama kweli unajipenda kwa maana usipofanya hivyo watakufanyia hivyo tena bila ya huruma, kama nilivyosoma ni kweli wanasema kwamba Kikatiba unabakia Raisi wa nchi lkn hauna Madaraka ya hire and fire, hivyo ni kama hauna power kihivyo, na hivi sasa tayari Raila Odinga nimesoma ameshakataa tarehe ya Uchaguzi mpya, hivyo hawa Upinzani wako wana ni ya kukuondoa madarakani kwa mlango wa nyuma!

Hivyo nakushauri you have to be the one to pull the trigger first kama kweli unajipenda, Raila Odinga anajua kwamba kwa kura hana namba za kushinda uchaguzi, hivyo fanya hilo simamisha Katiba, na ipange nchi upya, vinginevyo watakuondoa kwa nguvu, kila kitu kiko wazi, ...
 
Hivyo nakushauri you have to be the one to pull the triger first kama kweli unajipenda, Raila Odinga anajua kwamba kwa kura hana namba za kushinda uchaguzi, hivyo fanya hilo simamisha Katiba, na ipange nchi upya, vinginevyo watakuondoa kwa nguvu, kila kitu kiko wazi, ...
michango ya aina hii ilihitajika sana miaka ya 1940
 
Uchaguzi wa marudio Kenya lazima pachafuke! Mark my words Uhuru kwa sasa ndio yupo kwenye kampeni, anaongea kikampeni zaidi amegundua kelele za upande wa pili si haba! The same to Raila ambaye wafuasi wake ni more violent. Watch the space.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaandika yao wakiwa kwenye kumbi za video huko Manzese, taarifa zao ni kwamba hali ni mbaya sana huku Kenya! Mimi niko Nai sasa hivi, hali haijakuwa shwari kama ilivo sasa hivi tangia sijui lini. Tumetulia tunangoja kumpa Raila retire ya lazima hivi karibuni!
 
Tumia madaraka yako ya Uraisi na simamisha Katiba kwa sasa na ongoza nchi nguvu mpaka hali itakapotengemaa, ni lazima ulifanye sasa hvi kama kweli unajipenda kwa maana usipofanya hivyo watakufanyia hivyo tena bila ya huruma, kama nilivyosoma ni kweli wanasema kwamba Kikatiba unabakia Raisi wa nchi lkn hauna Madaraka ya hire and fire, hivyo ni kama hauna power kihivyo, na hivi sasa tayari Raila Odinga nimesoma ameshakataa tarehe ya Uchaguzi mpya, hivyo hawa Upinzani wako wana ni ya kukuondoa madarakani kwa mlango wa nyuma!

Hivyo nakushauri you have to be the one to pull the trigger first kama kweli unajipenda, Raila Odinga anajua kwamba kwa kura hana namba za kushinda uchaguzi, hivyo fanya hilo simamisha Katiba, na ipange nchi upya, vinginevyo watakuondoa kwa nguvu, kila kitu kiko wazi, ...
Uhuru hana power ya kusimamisha Katiba. Kenya si Tanzania. Wacha ujinga na ushamba wewe. Wacha Uhuru ajaribu tuone kama hakutawaka moto. Unadhani Wakenya watakaa watulie wakati Uhuru anafanya upuzi huo. Hapa vita itatokea mara moja. Usituletee ujinga na udikteta wa magufuli. Peleka ujinga yako huko. Na kama hupendi demokrasia basi toka jukwaa la Kenya uende kwa jukwaa la mapenzi. Wakenya tulipitisha Katiba mpya kwa sababu hatupendi madikteta. Tunakumbuka jinsi Moi alitutesa na kwa hivyo hatutaki huo upuzi. Hatutaki ujinga. Mimi mwenyewe nimekuchukia tu uliposema katiba itupiliwe mbali. Hujui umuhimu wa Katiba na unastahili kuishi Syria kwa Bashar al Asad au Zimbabwe kwa Mugabe. Demokrasia haitawahi kufika Tanzania kama hivyo ndivyo munafikiria. You disgust me.
 
Lkn asiposimamisha watamshoot down, hivyo chaguo ni lake aidha aendelee kufanya appeasing politics apate sifa ya kuwa ,,Mwanademokrasia" na kulipa gharama ya kuondolea kwa nguvu na aibu kubwa au ku hit so hard that they will never come back!
 
waafrika tu wajinga sana....we unadhani kenya ni uganda, zimbabwe, burundi, rwanda ama tz? hehe hapa rais lazma ajiwkee salama abembeleze watu ama atajipata mashakani...we are not ruled by dictators like u..
 
Unamshauri Uhuru au unashauri Kenya? Maanake hapo ulipotaja Uhuru Kenya umebaki umenikanganya!
 
waafrika tu wajinga sana....we unadhani kenya ni uganda, zimbabwe, burundi, rwanda ama tz? hehe hapa rais lazma ajiwkee salama abembeleze watu ama atajipata mashakani...we are not ruled by dictators like u..

Sawa lkn Raila Odinga atawezaje kuingia madarakani, ikiwa Wakikuyu ndiyo wengi na hakuna Mkikuyu atampigia kura Raila Odinga? Namba atazipata wapi?
 
Lkn asiposimamisha watamshoot down, hivyo chaguo ni lake aidha aendelee kufanya appeasing politics apate sifa ya kuwa ,,Mwanademokrasia" na kulipa gharama ya kuondolea kwa nguvu na aibu kubwa au ku hit so hard that they will never come back!
Wewe nenda zako na akili zako za Lumumba isiyojua check and balance. Kenya haina hali ya hatari kusimamishwa Katiba kama Uhuru ana namba ya kutosha kushinda uchaguzi kwann asimamishe Katiba? Labda ungetueleza Uhuru ataondolewa kivipi na Katiba hii unayotaka isimamishwe! Nimekudharau kinoma..hujui hata Sheria!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa lkn Raila Odinga atawezaje kuingia madarakani, ikiwa Wakikuyu ndiyo wengi na hakuna Mkikuyu atampigia kura Raila Odinga? Namba atazipata wapi?
kama kuna uchaguzi ambao utakuwa huru na wa haki ni huu....kila mmoja toka pande zote mbili sasa atafatilia kura kwa ukaribu na kuhakikisha haibiwi kura....ila kwa lile la kuongoza kwa nguvu haiwezkani...sio kwa sababu Keeyatta ni mwanademokrasia ama ni mcha Mungu...yaani katiba inam limit sana rais...kisha wakenya ni vichwa ngumu sana...hawatambui rais wala nani...rais akajaribu kufanya kwa kifua bila shaka anajichimbia kaburi...atapekekwa nyumbani asubui...kuna mama moja aliyechaguliwa Aug 8 alizungumza kuhusu kuongezwa kwa mishahara, yaani hata kabla ya kuapishwa wananchi walikuwa wameshaanza kutafta signatures za kum impeach (kumtoa madarakani)...ilibidi aje atubu na ku apologize...
Petition to Impeach Jubilee's Kiambu Leader Begins
Kiambu Women Rep Gathoni wa Muchomba takes back her words,accepts pay cut
 
Sawa, asante kwa maelezo mazuri na yenye kutia matumaini ngoja tusubiri tuone!
 
Back
Top Bottom