Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Tumia madaraka yako ya Uraisi na simamisha Katiba kwa sasa na ongoza nchi nguvu mpaka hali itakapotengemaa, ni lazima ulifanye sasa hvi kama kweli unajipenda kwa maana usipofanya hivyo watakufanyia hivyo tena bila ya huruma, kama nilivyosoma ni kweli wanasema kwamba Kikatiba unabakia Raisi wa nchi lkn hauna Madaraka ya hire and fire, hivyo ni kama hauna power kihivyo, na hivi sasa tayari Raila Odinga nimesoma ameshakataa tarehe ya Uchaguzi mpya, hivyo hawa Upinzani wako wana ni ya kukuondoa madarakani kwa mlango wa nyuma!
Hivyo nakushauri you have to be the one to pull the trigger first kama kweli unajipenda, Raila Odinga anajua kwamba kwa kura hana namba za kushinda uchaguzi, hivyo fanya hilo simamisha Katiba, na ipange nchi upya, vinginevyo watakuondoa kwa nguvu, kila kitu kiko wazi, ...