Ushauri wangu kwa Raisi Uhuru Kenya, Do The Unthinkable, Now!

Atleast you are nowhere near an advisor, not even a sugar cane eater.... so beat it
 
Mamarosa we ni falashtuka! Una mada za kijinga hadi kichwa kinauma!
 
Haha bro una ushabiki sana . Kenya wametuxid demokrasia kama umekuwa ukifuatilia siasa zao baada ya 2013(katiba mpya) utagundua hilo. Utawala wa sheria umekuwa sana Afrika Kusini ndio inayowazidi kwa Afrika. Pekee.

Migomo ya walimu, madaktari, kesi mbalimbali zidi ya serikali iliyopo madarakani.. rudi huku kwe2 migomo inaruhusiwa lakin fanya uone balaa yake.

Kesi ngapi kubwa raia wameshinda dhid ya serikali nchin tz ? ...!!!!

Don't quote me wrong thou demokrasia ni nzuri but ina madhara yake tena makubwa hasa kwa nchi zetu ambazo raia wake wana umasikini wa kifedha,mawazo,hekima

Mungu ibariki Afrika
 

...Mkuu hawa ndiyo aina ya baadhi ya watanzania tulionao, yaani tunashida kweli kweli. Thanks umempa za uso safi kabisa, akirudi tena nistue.
 

...Mkuu hawa ndiyo aina ya baadhi ya watanzania tulionao, yaani tunashida kweli kweli. Thanks umempa za uso safi kabisa, akirudi tena nistue.
 
Lkn asiposimamisha watamshoot down, hivyo chaguo ni lake aidha aendelee kufanya appeasing politics apate sifa ya kuwa ,,Mwanademokrasia" na kulipa gharama ya kuondolea kwa nguvu na aibu kubwa au ku hit so hard that they will never come back!
Unampotosha ajikute matatizoni kama Laurent Gagbo wa Cote de voure ( Ivory Coast). Huu ushauri mbaya sana ambao unashusha credibility ya michango yako yote inayofuata baada ya thread hii.
 
Fanyeni haraka iwezekanavyo ndio turudi kejenga inchi,kusomesha watoto na kuimarisha uchumi.Nomalcy has to return to Kenya sababu huu ujinga wa electioneering 24/7 na 5yr election cycle unamadhara mengi sana.Hata Marekani hao hufanya kampeini za miaka miwili tu halafu wanarudi ku-focus kwa kazi sasa ona ujinga wetu maskini Kenya tunafanya siasa for 5yrs.Hiyo ndio sababu moja simpendi Odinga he brings this bad culture of electioneering 24/7 to a poor country whose #1 focus should be improving the welfare of its poverty stricken citizens.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…