Ushauri wangu kwa Raisi Uhuru Kenya, Do The Unthinkable, Now!

Ushauri wangu kwa Raisi Uhuru Kenya, Do The Unthinkable, Now!

Atleast you are nowhere near an advisor, not even a sugar cane eater.... so beat it
 
Mamarosa we ni falashtuka! Una mada za kijinga hadi kichwa kinauma!
 
Tumia madaraka yako ya Uraisi na simamisha Katiba kwa sasa na ongoza nchi nguvu mpaka hali itakapotengemaa, ni lazima ulifanye sasa hvi kama kweli unajipenda kwa maana usipofanya hivyo watakufanyia hivyo tena bila ya huruma, kama nilivyosoma ni kweli wanasema kwamba Kikatiba unabakia Raisi wa nchi lkn hauna Madaraka ya hire and fire, hivyo ni kama hauna power kihivyo, na hivi sasa tayari Raila Odinga nimesoma ameshakataa tarehe ya Uchaguzi mpya, hivyo hawa Upinzani wako wana ni ya kukuondoa madarakani kwa mlango wa nyuma!

Hivyo nakushauri you have to be the one to pull the trigger first kama kweli unajipenda, Raila Odinga anajua kwamba kwa kura hana namba za kushinda uchaguzi, hivyo fanya hilo simamisha Katiba, na ipange nchi upya, vinginevyo watakuondoa kwa nguvu, kila kitu kiko wazi, ...
Haha bro una ushabiki sana . Kenya wametuxid demokrasia kama umekuwa ukifuatilia siasa zao baada ya 2013(katiba mpya) utagundua hilo. Utawala wa sheria umekuwa sana Afrika Kusini ndio inayowazidi kwa Afrika. Pekee.

Migomo ya walimu, madaktari, kesi mbalimbali zidi ya serikali iliyopo madarakani.. rudi huku kwe2 migomo inaruhusiwa lakin fanya uone balaa yake.

Kesi ngapi kubwa raia wameshinda dhid ya serikali nchin tz ? ...!!!!

Don't quote me wrong thou demokrasia ni nzuri but ina madhara yake tena makubwa hasa kwa nchi zetu ambazo raia wake wana umasikini wa kifedha,mawazo,hekima

Mungu ibariki Afrika
 
Uhuru hana power ya kusimamisha Katiba. Kenya si Tanzania. Wacha ujinga na ushamba wewe. Wacha Uhuru ajaribu tuone kama hakutawaka moto. Unadhani Wakenya watakaa watulie wakati Uhuru anafanya upuzi huo. Hapa vita itatokea mara moja. Usituletee ujinga na udikteta wa magufuli. Peleka ujinga yako huko. Na kama hupendi demokrasia basi toka jukwaa la Kenya uende kwa jukwaa la mapenzi. Wakenya tulipitisha Katiba mpya kwa sababu hatupendi madikteta. Tunakumbuka jinsi Moi alitutesa na kwa hivyo hatutaki huo upuzi. Hatutaki ujinga. Mimi mwenyewe nimekuchukia tu uliposema katiba itupiliwe mbali. Hujui umuhimu wa Katiba na unastahili kuishi Syria kwa Bashar al Asad au Zimbabwe kwa Mugabe. Demokrasia haitawahi kufika Tanzania kama hivyo ndivyo munafikiria. You disgust me.

...Mkuu hawa ndiyo aina ya baadhi ya watanzania tulionao, yaani tunashida kweli kweli. Thanks umempa za uso safi kabisa, akirudi tena nistue.
 
Lkn asiposimamisha watamshoot down, hivyo chaguo ni lake aidha aendelee kufanya appeasing politics apate sifa ya kuwa ,,Mwanademokrasia" na kulipa gharama ya kuondolea kwa nguvu na aibu kubwa au ku hit so hard that they will never come back!
Unampotosha ajikute matatizoni kama Laurent Gagbo wa Cote de voure ( Ivory Coast). Huu ushauri mbaya sana ambao unashusha credibility ya michango yako yote inayofuata baada ya thread hii.
 
Watu wanaandika yao wakiwa kwenye kumbi za video huko Manzese, taarifa zao ni kwamba hali ni mbaya sana huku Kenya! Mimi niko Nai sasa hivi, hali haijakuwa shwari kama ilivo sasa hivi tangia sijui lini. Tumetulia tunangoja kumpa Raila retire ya lazima hivi karibuni!
Fanyeni haraka iwezekanavyo ndio turudi kejenga inchi,kusomesha watoto na kuimarisha uchumi.Nomalcy has to return to Kenya sababu huu ujinga wa electioneering 24/7 na 5yr election cycle unamadhara mengi sana.Hata Marekani hao hufanya kampeini za miaka miwili tu halafu wanarudi ku-focus kwa kazi sasa ona ujinga wetu maskini Kenya tunafanya siasa for 5yrs.Hiyo ndio sababu moja simpendi Odinga he brings this bad culture of electioneering 24/7 to a poor country whose #1 focus should be improving the welfare of its poverty stricken citizens.
 
Back
Top Bottom