Ushauri wangu kwa Robertinho kuhusu kikosi cha kesho

Mzamiru ni mchezaji mzuri sana kwa wanaojua mpira ndio maana kila kocha aliyepita Simba hakusita kumtumia. Ni wapumbavu wachache wasio uona mchango wake.
 
SIMBA mkumbuke mmeifunga timu moja tu dhaifu kwenye kundi lenu....leo mnakutana na kiboko yenu
 
Hapa kwa mudhamir nilijua naonaga mimi tu, kumbe tupo wengi,yani jamaa badala ya kupeleka mpira mbele yeye atauridisha nyuma na sio mara moja,hayupo directly sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…