Ushauri wangu kwa Robertinho kuhusu kikosi cha kesho

Ushauri wangu kwa Robertinho kuhusu kikosi cha kesho

Mzamiru ni mchezaji mzuri sana kwa wanaojua mpira ndio maana kila kocha aliyepita Simba hakusita kumtumia. Ni wapumbavu wachache wasio uona mchango wake.
 
Anza na kikosi hiki utakuja kunishukuru

Manula
Kapombe
Tshabalala
Inonga
Onyango
Kanoute
Sakho
Chama
Baleke
Phiri
Ntibazonkiza

Mzamiru akae benchi, anarudisha sana mipira nyuma badala ya kushambulia, Chama acheze namba 8 kesho, winga Sakho, winga Saido, wauaji Phiri na Baleke, mapema tu
SIMBA mkumbuke mmeifunga timu moja tu dhaifu kwenye kundi lenu....leo mnakutana na kiboko yenu
 
Anza na kikosi hiki utakuja kunishukuru

Manula
Kapombe
Tshabalala
Inonga
Onyango
Kanoute
Sakho
Chama
Baleke
Phiri
Ntibazonkiza

Mzamiru akae benchi, anarudisha sana mipira nyuma badala ya kushambulia, Chama acheze namba 8 kesho, winga Sakho, winga Saido, wauaji Phiri na Baleke, mapema tu
Hapa kwa mudhamir nilijua naonaga mimi tu, kumbe tupo wengi,yani jamaa badala ya kupeleka mpira mbele yeye atauridisha nyuma na sio mara moja,hayupo directly sana
 
Back
Top Bottom