Serikali ni aibu sana kuwatumia wanasiasa kujibu hoja za kisheria wasizoweza. Hii ni kwa sababu tokea mjadala wa Bandari ya DSM umeibuka, hoja za watanzania wote ni namna mkataba ulivyo. Kuna vifungo vya mkataba vinatatiza maslahi mapana ya Taifa letu Tanzania.
Ni vyema mujibu hoja kitaalum hasa kuhusu vifungo vyenye utata na sio ufanisi wa DP WORLD. hakuna mtu yeyote anpinga ufanisi wao. Wanachopinga wananchi ni mkataba mbovu. Rekebisheni vifungo husika halafi DP warld wataendelea.
CCM mnajitahidi kinafiki sana kutetea huo mkataba wa DP world lakini bila kuwa na hoja za msingi hasa kuhusianan na vifungo vyenye utata.
Waalikeni wanasheria wa chama wajibu hoja na siyo kuongea vitu ambavyo havitoi taswira nzuri kwa chama tawala.