Ushauri wangu kwa serikali na Tume ya Taifa ya Uchaguzi - Kabla ya kurejesha kura ya Maoni

Mkuu umetoka kuamka nini?? Kama huelewi kinachojadiliwa si dhambi kupita kimyakimya. Waachie wenye uelewa, wewe endelea kuwaza kupiga kura maana hilo ndilo fungu lako.

Wewe ndio upite kimya kimya na mawazo yako mgando,unawaza upatanisho wa nani na nani? Bunge maalum la Katiba lilimaliza kazi yake longtime ago tukapata katiba inayopendekezwa we unawaza nini, cjui ni hivyo viroba unavyokunywa vimekuzidi nguvu?Watanzania wanasubiri tarehe ya kupiga kura hiyo ndo habari ya mjini wewe!!
 
Cabhatica unawaza kuondoa Katiba inayopendekezwa then what?acha nadharia hapa huo mkwamo unaousemea umetokea wapi wenzio tunasubiri tarehe tu aaa kura kama kawa!

Weka akiba maneno yako...and make them tender as you may be required to swallow them in the near future. You have been warned!
 
Wewe ndio upite kimya kimya na mawazo yako mgando,unawaza upatanisho wa nani na nani? Bunge maalum la Katiba lilimaliza kazi yake longtime ago tukapata katiba inayopendekezwa we unawaza nini, cjui ni hivyo viroba unavyokunywa vimekuzidi nguvu?Watanzania wanasubiri tarehe ya kupiga kura hiyo ndo habari ya mjini wewe!!
Wakati ukuta...kuna siku chura ataoga maji ya moto...unadandia treni kwa mbele??
 
Tunachosubiri ni mamlaka husika kukamilisha zoezi la uandikishaji na kutangaza tarehe ya kura ya maoni,hizi propanda nyingine hazina nafasi kwa sasa,watanzania daima mbele nyuma mwiko
 
Upotoshaji na propaganda na ugonjwa mbaya sana kwa kuwa unamfanaya mtu aamini kitu ambacho sio kweli,kuwa kweli,hivi mtu ambaye unaelewa vzr matakwa ya watanzania kuwa ni katiba mpya utaanza kuposha umma badala ya kuelimishana,ni wakati sasa wa kuacha mambo haya ambayo kimsingi yanaondoa uzalendo
 
Back
Top Bottom