Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Mkuu umetoka kuamka nini?? Kama huelewi kinachojadiliwa si dhambi kupita kimyakimya. Waachie wenye uelewa, wewe endelea kuwaza kupiga kura maana hilo ndilo fungu lako.
Cabhatica unawaza kuondoa Katiba inayopendekezwa then what?acha nadharia hapa huo mkwamo unaousemea umetokea wapi wenzio tunasubiri tarehe tu aaa kura kama kawa!
Wakati ukuta...kuna siku chura ataoga maji ya moto...unadandia treni kwa mbele??Wewe ndio upite kimya kimya na mawazo yako mgando,unawaza upatanisho wa nani na nani? Bunge maalum la Katiba lilimaliza kazi yake longtime ago tukapata katiba inayopendekezwa we unawaza nini, cjui ni hivyo viroba unavyokunywa vimekuzidi nguvu?Watanzania wanasubiri tarehe ya kupiga kura hiyo ndo habari ya mjini wewe!!