Ushauri wangu kwa vijana wenzangu.

Ushauri wangu kwa vijana wenzangu.

Tamaa mbaya tunajua na mimi sina tamaa kabisa ya vitu vingine ispokuwa hawa wanawake, ndugu kuna wanawake wengine wazuri aisay lazima uinue handbrake juu, huwezi kuwapita mpaa uwavue chupi ndo unaona raha :biggrin:
HIvi we ni mtu wa aina gani Fazaa? Dereva ndio anaongoza hand break ya gari lake au hand break ndio inamuendesha dereva? Mmhh?
 
HIvi we ni mtu wa aina gani Fazaa? Dereva ndio anaongoza hand break ya gari lake au hand break ndio inamuendesha dereva? Mmhh?
Mimi ni mtu wa kawaida tu kama vile binadamu wengine.

Hivi we unadhani nani anaye muongoza mwenzake...Unadhani hand brake ikiwa juu dereva ataondoa gari.

Kuna hand brake zingine zikiwa juu huwa zina kataa kabisa kushuka chini ,mpaa zipate hand brake machine ya kuzisaidia kureleasing hand brake.
 
Msifanye mambo kwa pupa mjiepeshe na tamaa za dunia, fanyeni mambo kwa mipango sio mbio mbio, kama uwezo wako ni mdogo kwanini watamani mambo makubwa ambayo yako nje kabisa ya uwezo wako, Maovu mengi hufanyika kwa sababu ya tamaa zisizo na mipango. Kumbuka ulicho nacho nacho ndio chako unapaswa ujivunie nacho na uridhike nacho. Tamaa mbaya ndio chanzo cha maovu kote duniani na watu wengi wamepotea kutokana na tamaa.
Tamaa ya maisha ndio chanzo cha maovu na ni kwa sababu ya tamaa hata watu wamesahau Amri za Mwenyezi Mungu.

Vipi boss..
Kuna lililokukutaa ama....
(Though nimeipokea kwa mikono miwili...)
 
Na hata wachumba jamani mtafute wa level zenu na mtafute kwa nia ya mapenzi na sio mali. Tabia ya kuombaomba kwa vijana na mabinti pia sio nzuri. Mungu atawajaalia kwa wakati wake kupata mtakacho, fanyeni bidii kwenye masomo na kazi na mtajikwamua tu, inshaallah!

Kipi unachomaanisha.. Level in terms of nini...
 
Msifanye mambo kwa pupa mjiepeshe na tamaa za dunia, fanyeni mambo kwa mipango sio mbio mbio, kama uwezo wako ni mdogo kwanini watamani mambo makubwa ambayo yako nje kabisa ya uwezo wako, Maovu mengi hufanyika kwa sababu ya tamaa zisizo na mipango. Kumbuka ulicho nacho nacho ndio chako unapaswa ujivunie nacho na uridhike nacho. Tamaa mbaya ndio chanzo cha maovu kote duniani na watu wengi wamepotea kutokana na tamaa.
Tamaa ya maisha ndio chanzo cha maovu na ni kwa sababu ya tamaa hata watu wamesahau Amri za Mwenyezi Mungu.
sure 😛oa
 
Vipi boss..
Kuna lililokukutaa ama....
(Though nimeipokea kwa mikono miwili...)
.

Hakuna lililonikuta Mkuu ila nimeyakumbuka mausia ya zamani ya wazee wetu.Walikuwa wanaiasa sana jamii.
 
Back
Top Bottom