Ushauri wangu Kwa vijana

Ushauri wangu Kwa vijana

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
1. Punguza Tamaa Zako Za Ngono Ukiendekeza Tabia Hii Itakupelekea kutembea Na Watu Mbalimbali. Hali Hiyo Siku Moja Itakupelekea kupata Magonjwa ya zinaa /Kwa Wewe Binti Mimba Na Hata UKIMWI. Akili Zako zitakuw zinawaza Sex tu. Mambo ya Maendeleo yatakupita kushoto.

2. Acha Kabisa Kuangalia Picha Za Ngono (Picha Za X) Acha Piah Punyeto Kwa Wewe Kijana wa Kiume Hali Kadhalika Kujichua Kwa Wewe Binti. Maneno Yangu Sio Amri Ila Ni Muhimu Sana Hivyo Weka Mkazo Hapo. Hali Hii Ya punyeto Na kujichua Na kuangalia X Ni Muuaji Mkuu Wa Mafanikio Yako Ya Leo Na Kesho .Hali Hii Inadumaza Na Kuharibu Ubongo wako.

3. Epuka Starehe Siziho Na Maana kunywa Sana Pombe, Uvutaji Wa Sigara, Tumbaku Na Bangi.

4. Ukipata Mtu Mwenye Akili Kuliko Wewe, Fanya Naye kazi,
Usishindane Naye.

5. Hakuna Mtu Yeyote Duniani Anayekuja Kuokoa matatizoY Yako. 100% Ya Maisha Yako Ni Jukumu Lako. Hivyo Wewe Ndiye Dereva Wa Maisha Yako. Kuwa Makini Na Unavyoendesha Maisha Yako.

6. Dunia ya Leo Mtu Akikuambia Ukweli Juu Ya Mienendo Yako.
Badilika Usishupaze Shingo Itakuja Vunjika. Maana Dunia Ya Leo watu Kama Hao Ni Nadra Sana. Kushukuru Mtu Anayekushika Mkono Na Kukuelekeza Njia Sahihi.

7. Tafuta njia mpya za kupata pesa.
Sijasema uende Kwa Waganga Wa Kienyeji Ili upate Pesa Zenye masharti Magumu Kama Nini. Tafuta Pesa /Hela Kwa Njia Halali Na Mungu Anayeona Hustle Zako Naye Atakujaza Kwa Wakati Na Majira Yake.

Pambana Zaidi
Usikate Tamaa Na Uwapuuze Wale Wote wanaokudhihaki Na
kukukatisha Tamaa.
 
uyu ndiye Faustine Jackson Mafwele na namba zake za Simu ni +255 755 855 743 na +255 787 922 913Huyu ameua watu wengi sana Mwanza , sasa ni kiongozi wa utekaji Dar na Tanzania nzima kupitia kituo cha Polisi Chang’ombe Temeka ambapo wana jengo la mateso kwa Watanzania
GVvhRc-XgAAvdew.jpg
 
uyu ndiye Faustine Jackson Mafwele na namba zake za Simu ni +255 755 855 743 na +255 787 922 913Huyu ameua watu wengi sana Mwanza , sasa ni kiongozi wa utekaji Dar na Tanzania nzima kupitia kituo cha Polisi Chang’ombe Temeka ambapo wana jengo la mateso kwa Watanzania
View attachment 3078083
Mbna utekaji umekuwa kwa kasi.
 
Back
Top Bottom