Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ligi Kuu ya soka nchini imeanza rasmi leo kwa Pamba Jiji kutoka suluhu na Prisons ya Mbeya, vijana wengi mnaweza msiijue sana historia ya Pamba ya Mwanza, nitakuja kuwaeleza siku nyingi kuhusu Pamba ile ya golini Madata Lubigisa au Paulo Rwechungura, kulia Abdallah Bori kushoto Deo Mkuki, Nne James Washokera tano George Masatu sita Nico Bambaga marehemu, winga Hamza Mponda winga Beya Simba, nane Hussein Masha, tisa Kitwana Seleman kumi Ali Bushiri.Sio Pamba ile ya akina Nteze na Rajabu Msoma naiongelea Pamba hii hii ya David Mwakalebela MP.
Huko mimi siko lakini nataka kutoa ushauri wangu kwa wachezaji, msipuuze mechi wala msitake kucheza show game, Ligi Kuu nchini imebadilika sana, aina ya wachezaji wanaocheza Ligi hapa Bongo sasa sio kama ile zamani, sasa hivi huwezi kuamini sentahafu wa timu ya Taifa ya Nigeria ambaye anaanza kule kwenye kwao kwenye timu ya Taifa leo anachezea Singida Black Stars.
Kuna wachezaji kama Maroun Tchakei mafundi wakubwa soka lakin wanachezea timu za kawaida kama Singida, hakuna timu ndogo sasa hivi katika ligi yetu, sasa hivi kila mechi ni fainali, tuangalie kwa umakini sana mienendo yetu katika Ligi, kuna timu zina udhamini wa Avic Town.
Kuna timu zilianza kutuwekea pingamizi wachezaji wetu, hizo ziko katika mipango ya waadui zetu, wachezaji wangu nawaomba sana piganieni heshima ya jezi hiyo, sisi tuko nyuma yenu tunawasapoti, hakikisheni kila mechi tunaondoka na pointi, wachezaji acheni ubinafsi wa kutaka kufunga mabao wakati unaona kabisa.
Mwenzako yuko katika nafasi nzuri, tafadhalini sana acheni pia kupigana misumari, tunahitaji kurudisha heshima ya klabu, sasa hivi hakuna timu ndogo, we fikiria hadi Tabora kasajili wachezaji wa kigeni kibao bila kujali gharama za kulipia mchezaji mmoja wa kigeni.
Serikalini ni milioni 8, lakini wanyamwezi wameweza na wameshusha watu kweli kweli, Mashujaa wameshusha mashine, Kagera wameshusha mashine, Namungo hivyo hivyo wana akina Juma Shaaban, tuwe makini sana jamani, mmebeba mioyo yetu, mimi jumapili naenda kuweka milioni Simba anamuua Tabora Yanga anasare kwa Vitalo.