Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 5,316
- 7,215
Nimeshawahi kutembelea kwenye Nchi kadhaa hasa za Ki Africa, mnakata ticket online ama kwenye office za kukatia ticket ambapo Huwa zinakata Ticket ya Kampuni yoyote, ama kwenye office za Kampuni (Town).
Abiria mtaambiwa m report kwenye office ya Kampuni ya Bus hisika muda flani, ukifika Muda, Wanawapakia Abiria wote kwenye Coaster safari Stand Kuu, mkifika hapo Wanawapakia kwenye Bus kubwa ambalo mtasafiri nalo.
Kwa kweli ni dharau Kwa Serikali Kwa kujenga Stand Bora kama Ile hafu nyinyi mkagoma kuitumia, Mimi na support Uamuzi wa Mkuu wa Mkoa....! Wacha office zenu za Mtaani ziwepo, Wacha abiria wakusanyike hapo, mwisho wa siku, mnawabeba na kuwapeleka Stand Kuu ... Period.