IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 760
- 823
Ule upendo wa mwanzo huwa unaenda wapi mpaka watu kuchukiana mpaka hata kuuana ?Ni kweli Mungu anachukia kuachana lakini hajakataza
Kuachana!
Ule upendo wa mwanzo huwa unaenda wapi mpaka watu kuchukiana mpaka hata kuuana ?
Mpaka mmefikia maamuzi ya kukaa pamoja ina maana Kila mmoja alikubali kuyabeba mapungufu ya mwenzake (kumfichia madhaifu), ila kuja kutengana maana yake ni nini Sasa ?Sasa upendo si unatakiwa kuwa wa pande zote 2 au ni upande mmoja tu ndio upende na mwingine uwe unaumiza mwenzie ?
Ni kweli Imeandikwa upendo huvumilia lakini unavumilia Mwaka wa 1, 2 mpaka 10 Yani maisha yote mwanandoa mmoja awe anavumilia tu na mwingine kazi yake kufanya uasi akijua for granted atavumiliwa na kusamehewa?
Mpaka mmefikia maamuzi ya kukaa pamoja ina maana Kila mmoja alikubali kuyabeba mapungufu ya mwenzake (kumfichia madhaifu), ila kuja kutengana maana yake ni nini Sasa ?
Kukosea ni sehemu ya maisha hakuna mkamilifuMapungufu yakunebana Ni yale ambayo hayatokani na makusudi.
Kukosea ni sehemu ya maisha hakuna mkamilifu
Mpaka kufikia kujirudiarudia lazima kuna sababu na huenda 'mwandani' wake akawa sehemu ya sababu au hata sababu yenyewe kwa kujua au kutokujua.Ni kweli lakini iwe Kwa bahati mbaya na sio kwa kukusudia na kujirudiarudia!
Kwa waislamu ni sekunde tu...Mpaka kufikia uwamuzi wa talaka Kwa wanandoa ujue si jambo dogo!
Na Mimi huwa na waambia watu facts au scenario huwa hazifanani.
Kwa hiyo hatupaswi kuwa na conclusion ya aina moja!
Mpaka kufikia kujirudiarudia lazima kuna sababu na huenda 'mwandani' wake akawa sehemu ya sababu au hata sababu yenyewe kwa kujua au kutokujua.
Watu kulazimisha suluhu sidhani kama inaweza kuwa tatizo, japo ndoa ni ya wawili ila kuna ambao wana maslahi ya moja kwa moja na hiyo ndoa, mnapoivunja na wao mnawaweka pagumu mfano watoto au hata familia zenu mbili.Huenda lakini sio lazima iwe hivyo wakati wote.
Ikifika hapo sasa ndio hutegemea scenario na scenario!
Huwa hazifanani na sensitivity zake!
Huwa sio rahisi kama hesabu za 1 + 1 = 2.
Halafu watu wanakosea kuforse suluhu wakati moyo wa aloumizwa ukiwa bado na majeraha!
Jamii inahitajika elimu ya mambo ya mahusiano na psychology.
Toka nioe sijawai pata mgogoro mkubwa kiasi Cha kusuruhishwa na watu.na naomba isitokeendugu umeandika kwa hisia kali sana pole kama yamekukuta