Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Ndoa ndoano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunatofauti kati ya bara na huyo aloandika hapoAsila - hasira
Fikilia-fikiria
Mala-mara
Bara hamjui kiswahili hata msome vip [emoji28][emoji28][emoji28]
Ushauri mzuri sanaKwanza mm sio muumini wa watu kupeana taraka.pili ndoa sio Jambo la kukurupuka tu ndugu zangu.nitaanza kuwapA ushauri wanaume;
*Jamani tupende kupunguza na kudhibiti asila zetu tambueni pia kua wanawake nao wameumbiwa asila.unapochukua maamuzi magumu fikilia mala mbili michepuko sio mchongo,nije kwenu wanawake
* Tambueni mamlaka ya waume zenu,mume ni kiongozi jibizana nae kwa heshima na adabu,hakuna haki sawa kwenye ndoa.kipato isiwe sababu ya kumdhalau mwenzio,michepuko sio mchongo.
Sina mengi natumai wahusikamenielewa
Mkuu, fanyia kazi matumizi ya L na R, uzi wako unakinaisha.Kwanza mm sio muumini wa watu kupeana taraka.pili ndoa sio Jambo la kukurupuka tu ndugu zangu.nitaanza kuwapA ushauri wanaume;
*Jamani tupende kupunguza na kudhibiti asila zetu tambueni pia kua wanawake nao wameumbiwa asila.unapochukua maamuzi magumu fikilia mala mbili michepuko sio mchongo,nije kwenu wanawake
* Tambueni mamlaka ya waume zenu,mume ni kiongozi jibizana nae kwa heshima na adabu,hakuna haki sawa kwenye ndoa.kipato isiwe sababu ya kumdhalau mwenzio,michepuko sio mchongo.
Sina mengi natumai wahusikamenielewa
😶Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Kila wakati ni lazima kulinganisha athali za kulazimisha suluhu, na athali za talaka. Athali za talaka straight forward zinajulikana na zitahusisha wengi moja kwa moja. Lakini athali za kulazimisha suluhu, mara nyingi humuathili mmoja (kwa uwazi) na wengine athali watakazozipata kutokana na suluhu hiyo zinaweza zisionekane au zisiwepo kabisaWatu kulazimisha suluhu sidhani kama inaweza kuwa tatizo, japo ndoa ni ya wawili ila kuna ambao wana maslahi ya moja kwa moja na hiyo ndoa, mnapoivunja na wao mnawaweka pagumu mfano watoto au hata familia zenu mbili.
Kuivunja bila kuangalia au kupima hiyo athari kwa hayo makundi mengine huenda ikawa ubinafsi.
Kabisa....wanaweza kulazimisha suluhu kumbe mmja wenu bado Ana kinyongo,hafurahiKila wakati ni lazima kulinganisha athali za kulazimisha suluhu, na athali za talaka. Athali za talaka straight forward zinajulikana na zitahusisha wengi moja kwa moja. Lakini athali za kulazimisha suluhu, mara nyingi humuathili mmoja (kwa uwazi) na wengine athali watakazozipata kutokana na suluhu hiyo zinaweza zisionekane au zisiwepo kabisa