Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Every body is entitled to freedom of expression, this is a constitutional rights.Ipo kwenye Bill of Rights.
Kutoa maoni ni haki ambayo nobody huwezi kuichukua, ndio maana Rais anavumilia watu wakimkosoa na wengine wakimkejeli.
Mtu anapotoa mawazo yake sio lazima ww uyakubali au uyapende, heshimuni mawazo ya watu, mtu anatoa maoni wewe unamwambia hana akili, mara unamuita mngese, mbona ww hutoi hayo maoni mazuri? Mbona wengine hatuwatukani, we ukinipinga kwa hoja unapungukiwa nini.
Kwa mfano unanitukana na mm nikikutukania mamako we unajisikiaje, unafurahia mamako kutukanwa, pengine mamako amelazwa, au amefariki au amepumzika lkn mtu anakutukania mamako, we unajisikiaje.
Michael Armstrong katika kitabu chake cha Human Resources Management alisema namnunukuu,
"The management of people would be much easier if all people were the same, but we differ in aspect of values, culture, norms, behavior and so.on." mwisho w kunukuu.
Kama mawazo ya mtu huyapendi soma kisha yapuuze endelea na hamsini zako, heshima ni haki ya mtu, everybody is entitled to dignity.
Naomba sana sio poa kunitukana na mm nakutukania mamako, tuheshimiane.