Ushauri wangu kwa wanaopenda vya bure

msukule mzembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
253
Reaction score
302
Any way awali ya yote nahitaji mtu yeyote mwenye namba za mganga anisaidie nina shida nae

Ishu inaanza kuna jamaa yangu mmoja hadi hapa tunapoongea anaumwa vibaya sana, huyo jamaa alikua na tabia ya kupenda vitu vya bure na kutaman vitu vya watu asivyojua chanzo chake.

Kwakupenda vitu vya bure amelogwa kijana yule saizi nipo nae namuuguza na hospitali wamethibitisha hana tatizo

Nisingependa niwachoshe ila nawakumbusha kua UCHAWI UPO NA MSIPENDE VYA BURE NDUGU ZANGU.

Nawasilisha madini haya , asanteni wakuu ila uchawi upo jamani
 
vipi nyepesi nyepesi hajakutajia aliyemlaza hapo hospitalini
 
Au we ndiyo umemroga hilo jina lako linaogopesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…