Ushauri wangu kwa Wanasiasa wanaotaka kuacha legacy nzuri na ya kudumu

Ushauri wangu kwa Wanasiasa wanaotaka kuacha legacy nzuri na ya kudumu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wanasiasa, na hata Wanaharakati wengi duniani, wakiwemo wa nchi hii (including the late Magufuli) wanaonekana kupenda sana kuja kukumbukwa baadae hata na vizazi vijavyo, ila hawaelewi wafanye nini waache legacy na hata historia imeshindwa kuwasaidia ni namna gani wanaweza kuacha legacy.

In short, legacy (a good one) is not simply about being a president, king or queen or building infrastructures, etc, but is primarily about how you live in people's heart (i.e, touching their beliefs, traditional values and culture, etc) and more important about how you touch people's life(embracing humanity and people's dignity).

Na hii ndio sababu watu kama kina Mandela, Martin Luther King, Sir Issac Newton na wengineo wameacha legacy kubwa sana duniani japo hawakujenga miundombinu na wengine hawakuwa hata marais, na pia hii ndio sababu kwani watu kama kina Adolf Hitler wameacha legacy mbaya japo walijenga na kuendeleza mataifa yao.

Habari ndio hiyo.

More important :
Legacy is not about propaganda, though propaganda can be about legacy.

JamiiForums is where my legacy is and can be always found.
 
Majungu hutumika mwezi wa ramadhani kupikia futari wewe unafanya ndio kazi!
 
Atakawezesha kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi na katiba mpya hata Saha ulikua. Hata kama itawezesha upinzani kuwa madarakani lakini itabadilisha CCM kuwa chama bora zaidi cha siasa na vizazi vijavyo vitamkumbuka.
 
Atakawezesha kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi na katiba mpya hata Saha ulikua. Hata kama itawezesha upinzani kuwa madarakani lakini itabadilisha CCM kuwa chama bora zaidi cha siasa na vizazi vijavyo vitamkumbuka.
Ni kweli kabisa, mwanasiasa wa nchi hii anaetaka au ataecha legacy ya kuheshimika ni yule atawaeletea Watanzania katiba mpya hata kama hatojenga hata kilomita moja ya lami.
 
JPM ameacha legacy;

JPM amegusa maisha ya watu wote kwenye jamii wawe wahitaji au waporaji

Ndio maana wanaomuenzi wako hadharani na wachache wanaopambana kumchafua wanarusha maneno nyuma ya keybords wakiwa mafichoni huko twita na Jf

Sasa hivi JPM anakumbukwa na kuenziwa mnoo..... na matendo yake yanatumika na watanzania kuzidi kujiimarisha katika kuchapa kazi na uzalendo.
Ukipita visiwani ni JPM, ukipita bara ni JPM, ukipita misikitini ni JPM, ukipita makanisani ni JPM, ukipita mahosptalini ni JPM, ukipita masokoni ni JPM, ukipita maofisini ni JPM, viwandani nako ni JPM, Bodaboda wanamuenzi JPM, wamachinga nao wanamuenzi JPM........

JPM anaishi na ataendelea kuishi vizazi na vizazi
JPM atabaki kuwa Mwamba na Shujaa wa karne
 
JPM ameacha legacy; amegusa maisha ya watu wote kwenye jamii wawe wahitaji au waporaji
Ndio maana wanaomuenzi wako hadharani na wachache wanaopambana kumchafua wanarusha maneno nyuma ya keybords wakiwa mafichoni

JPM atabaki kuwa Mwamba na Shujaa wa karne
Kumbukeni hata Nape kawambia legacy ya mtu haihitaji nguvu kuinadi bali inajinadi yenyewe.
 
Kumbukeni hata Nape kawambia legacy ya mtu haihitaji nguvu kuinadi bali inajinadi yenyewe.

Mnaotumia nguvu ni nyie, watanzania zaidi ya 84% wanawazoom tuu

Shujaa anawavuruga akiwa hai na hata akiwa kaburini😆😆😆

Imekula kwenu
 
Back
Top Bottom