baadhi huuza magari genuine kabisa yasiyo na tatizo lolote na yaliyotunzwa vizuri kwa bei poa sana..Hawa wapo na wengine huuza kutokana na dharura za kimaisha ..lakini kwa bahati mbaya sana hizi gari za namna hii hudakwa juu kwa ju na walengaji
siwe na haraka wala kutwezwa na lugha tamu za wauzaji na wawakilishi wao...Chukua muda kuzikagua kupitia wajuzi waaminifu... Hakikisha nyaraka ni halisi na hazina shida kuanzia mamlaka ya mapato, mikopo kwenye taasisi za fedha, umiliki/ jina/ mirathi nknk..