- Thread starter
- #21
Napingana na wewe, Ibrahim bacca n beki kitasa, hapo namuongelea yeye kama yeye na Wala sio sababu ya combination nae na jobDick ndo beki mzuri sana pale yanga
Tunamuona Bacca kwa ajili ya dick
Sikatai bacca ni mzuri sana but ni mzuri zaidi kucheza ile man to man ie kiatu kiatu!
Ila Dick ni mzuri sana ktk anticipation na kuanzisha move kutokea nyuma