Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 226
- 594
[emoji38][emoji38][emoji38] huu ukweli mchunguMpira wa bongo hauitaji watu smart,kwa sababu washabiki wengi sio smart na wachezaji wengi ni wahuni,viongozi wahuni mashabiki wahuni ndio maana uwanja wa taifa ukajengwa temeke na sio mbezi beach
Mkuu mimi nilishaandika humu, Simba iachane na Manara haraka iwezekanavyo. Hana weledi na kazi yake. Huwezi kujivuna eti wewe umeleta mashabiki Simba na Yanga.Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara.
...
Jerry has elevated from spokesperson to DC, manara yuko palepale. Acha linganisha kifo na usingiziMbona mnaoteseka na manara ni uto si mmulete Jerry na nyie
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mwenye yale mabadiriko ya Senzo alipokuwa Simba ile nafasi ilikuwa ameshapata GiftHaji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara.
Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi naifahamu Simba kabla ya Manara. Sikuwahi mfahamu Manara mpaka alipokuja Simba.
Lakini miaka yote nmekuwa nikimpinga kama ambavyo nlikuwa nampinga Jerry Muro. Manara hana uelewa mzuri. Si smart kichwani,ana mihemko,jazba na hasira.
Lakini kwa Simba ya kisasa anapaswa apatikane msemaji ambaye ni professional. Mwenye akili,mwenye kuufahamu mpira.
Bila hivyo sioni Simba ikiwa ya kisasa upande huo.
kichaa wewe baba tusije tukachanganyana kwenye makundi yasiyoeleka tafadhali [emoji41]Sisi mashabiki wa Simba tuko pamoja na Manara a.k.a Bugatti anafanya kama soka la bongo lilivyo.
Mpira wa bongo sio smart ni patashika nguo kuchanika,na watu wa kwenye soka ni vichaa,viongozi wa soka vichaa,mashabiki vichaa,wawekezaji wa soka vichaa,wadhamini wa soka vichaa,wizara ya michezo vichaa.
Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara.
Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi naifahamu Simba kabla ya Manara. Sikuwahi mfahamu Manara mpaka alipokuja Simba.
Lakini miaka yote nmekuwa nikimpinga kama ambavyo nlikuwa nampinga Jerry Muro. Manara hana uelewa mzuri. Si smart kichwani, ana mihemko, jazba na hasira.
Lakini kwa Simba ya kisasa anapaswa apatikane msemaji ambaye ni professional. Mwenye akili,mwenye kuufahamu mpira.
Bila hivyo sioni Simba ikiwa ya kisasa upande huo.
Bumbuli naye ni hopeless hamna kitu pale. Bumbuli ni Manara mnyonge. Hovyo tu nayeMkuu mimi nilishaandika humu, Simba iachane na Manara haraka iwezekanavyo. Hana weledi na kazi yake. Huwezi kujivuna eti wewe umeleta mashabiki Simba na Yanga.
Mashabiki wa timu hizi wapo tu na utawaona wengi au wachache katika kipindi cha mafanikio tu. Wakati wa Manji Mashabiki wa Yanga walikuwa wanajitokeza kuliko wa Simba na sasa zama za Mo kwa ajili ya mafanikio mashabiki wengi wa Simba wanajitokeza.
Kwa watu welevu Manara anaichafua zaidi Simba kuliko anavyoitangaza. (Kwa Tanzania hizi klabu mbili hazihitaji kutangazwa na msemaji). Walau Bumbuli kidogo ana weledi.
Manara hana mchango simba. Mnajidanganya na kumdanganya. Hamna kitu pale. Mnawezana naye mashabiki msio na elimu.Hakuna usasa kwenye Mpira wa Tanzania na huo usasa ndio umewafanya Azam mpaka Leo hata kombe la mapinduzi ni ishu kupata na Wana kila kitu
Manara ana mchango wake mkubwa tu, so lazima apate heshima yake
Na kama Haji ataondoka Simba Kwa ajili ya babra then babra atakuwa na wakati mgumu Sana kuiendesha simba