Ushauri wangu kwenu Simba. Badilisheni na hapa pia

Ushauri wangu kwenu Simba. Badilisheni na hapa pia

Manara hana mchango simba. Mnajidanganya na kumdanganya. Hamna kitu pale. Mnawezana naye mashabiki msio na elimu.

Mpira wa bongo sio wa Elimu ndio maana timu ikiwa bingwa inapata milion 80 na bajet yake Kwa msimu ni billion 3
 
Sisi mashabiki wa Simba tuko pamoja na Manara a.k.a Bugatti anafanya kama soka la bongo lilivyo.
Mpira wa bongo sio smart ni patashika nguo kuchanika,na watu wa kwenye soka ni vichaa,viongozi wa soka vichaa,mashabiki vichaa,wawekezaji wa soka vichaa,wadhamini wa soka vichaa,wizara ya michezo vichaa.
Watu wana wekeza pesa wewe upeleke ukichaa?
 
Mi Simba lakini kwa manara imetosha mara agombane na waandishi mara atukane viongozi wake, sasa hapo ntawashangaa Simba kama watamuacha, masikio yamezidi kichwa.

Waweke pale mtu makini asiyeropoka. Wakati mwingine hua nahisi anatumwa na Yanga kudemage interest za Simba.
yanga amtume manara wewe una umwa eeeh, yanga haangaiki na timu za kipumbavu
 
Mleta mada ni hivi, mpira wa kibongo auhitaji watu wenye akili na wenye kuujua mpira la sivyo tutawaua hao watu na stress ama pressure za kujitakia. Mpira wetu unahitaji watu dizaini ya kina Manara, yaani useless people na wasio na akili timamu ili wawe tu wanachekesha watu na kujiongezea siku za kuishi duniani. Nikupe mfano ulio hai....umeona maisha anayoishi Mze Mpili kule kijijini kwao? Sasa wana Yanga wanamlilia yule Mze kuwa msemaji wa timu yao na mshauri mkuu wa benchi la ufundi wakati Mze wa watu hata danadana hajuwi kupiga. Kwa sasa Mze ndiyo kawa zaidi ya kocha jinsi anavyoheshimika klabuni mwao. Mpira wa kibongo ni mpira wa kijinga sana na ndiyo maana siufuatilii kamwe.
 
Mpira wa bongo hauitaji watu smart, kwa sababu washabiki wengi sio smart na wachezaji wengi ni wahuni,viongozi wahuni mashabiki wahuni ndio maana uwanja wa taifa ukajengwa temeke na sio mbezi beach
Mkuu umemaliza jibu sahihi kabisa kwa huyo utopolo
 
Mkuu mimi nilishaandika humu, Simba iachane na Manara haraka iwezekanavyo. Hana weledi na kazi yake. Huwezi kujivuna eti wewe umeleta mashabiki Simba na Yanga.

Mashabiki wa timu hizi wapo tu na utawaona wengi au wachache katika kipindi cha mafanikio tu. Wakati wa Manji Mashabiki wa Yanga walikuwa wanajitokeza kuliko wa Simba na sasa zama za Mo kwa ajili ya mafanikio mashabiki wengi wa Simba wanajitokeza.

Kwa watu welevu Manara anaichafua zaidi Simba kuliko anavyoitangaza. (Kwa Tanzania hizi klabu mbili hazihitaji kutangazwa na msemaji). Walau Bumbuli kidogo ana weledi.
Walifukuze tapeli hilo.
 
Mleta mada ni hivi, mpira wa kibongo auhitaji watu wenye akili na wenye kuujua mpira la sivyo tutawaua hao watu na stress ama pressure za kujitakia. Mpira wetu unahitaji watu dizaini ya kina Manara, yaani useless people na wasio na akili timamu ili wawe tu wanachekesha watu na kujiongezea siku za kuishi duniani. Nikupe mfano ulio hai....umeona maisha anayoishi Mze Mpili kule kijijini kwao? Sasa wana Yanga wanamlilia yule Mze kuwa msemaji wa timu yao na mshauri mkuu wa benchi la ufundi wakati Mze wa watu hata danadana hajuwi kupiga. Kwa sasa Mze ndiyo kawa zaidi ya kocha jinsi anavyoheshimika klabuni mwao. Mpira wa kibongo ni mpira wa kijinga sana na ndiyo maana siufuatilii kamwe.
Ni wachache sana wanaelewa hili,ushindi wa yanga dhidi ya simba mzee mpili kapewa ujiko kuliko zawadi mauya kuliko kocha ,kuliko benchi la ufundi na timu nzima hao ndio utopolo hao
 
Back
Top Bottom