Ushauri wangu tusibaguane tusidharauliane tuheshemiane na kishirikiana

hmaloh

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
373
Reaction score
554
Kuna namna nimekaa nikawaza finally nikaja na conclusion yakwamba dini zimekuja kama mtego tu kwa wale wavivu wakufikiri hivi ushawahi kufikiri yakwamba kama sote tunashare ten commandments of God/Allah/Mungu,

Je nikwanini tuna Imani tofauti hii ni kwa faida ya nani? au kwa lengo lipi,binafsi naona kama tunaingizwa(African) kwenye ugomvi ambao source yake hatuujui.

Hapa yatupasa kuamka huu ni mtego ndugu zangu lakini nisichukuliwe vibaya mimi sio atheist,naamini katika nguvu kuu ambayo waweza kuita Mungu.

Ushauri wangu tusibaguane tusidharauliane tuheshemiane na kishirikiana pia zaidi tufate amri kumi za mungu huyo ndio muongozo mkuu hapa duniani.Asanteni
 
WAambie CCM kwanza,.
Machawa...
 
Back
Top Bottom