The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Japo CCM na serikali na majeshi yake wanatangaza kuwa kesho ni siku ya uchaguzi, huu si uchaguzi bali uchafuzi.
Kula fedha za CCM ila kura usipige. Utapiga ya nini na kupoteza muda wakati wameishajishindisha? Wapo watakaoogopa kuandamana. Jamani, hata kuwanyima kura ili waaibike nako tushindwe?
Huo ndiyo ushauri wangu kwa wote wanaoitakia mema nchi yetu na kuchukia hii dhuluma. Kama huwezi kuondo kkwa mkono, basi laani. Kama huwezi kulaani, basi chukia.
Na kama huwezi kuchukia, basi susa. Utakuwa umejitenga na dhuluma na kuchangia pakubwa. Wakati mwingini, ukimya una sauti kubwa kuliko makelele.