LGE2024 Ushauri wangu vyama vya siasa vya upinzani jiondoeni kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2023
Posts
245
Reaction score
655
Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni kwenye uchaguzi huu.
Msipoteze muda na fedha kwajili ya huu uchaguzi jiondoeni kushiriki.
 
Wakishajiondoa then what next?
 
Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni kwenye uchaguzi huu.
Msipoteze muda na fedha kwajili ya huu uchaguzi jiondoeni kushiriki.
viongozi wa vyama vya siasa Tanzania ni sikio la kufa. hata uwaambiaje wataongea muda ukifika wanashiriki story inabaki vilevile tu kila siku
 
Tatizo ni kwamba hao Wanasiasa wengi pamoja na Viongozi wao kwenye hivyo vyama vyao vya siasa hasa kwa upande wa Wapinzani, wengi wao ni Mamluki na Mapandikizi ambao wapo huko kimkakati kwa ajili ya kukisaidia chama tawala kiendelee kubaki madarakani.
 
Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni kwenye uchaguzi huu.
Msipoteze muda na fedha kwajili ya huu uchaguzi jiondoeni kushiriki.
SEMA CHADEMA JIONDOENI , NA WAKIKUSIKILIZA WAJIONDOE TU KUNA VYAMA ZAIDI 20 VINASHIRIKI HAINA SHIDA
 
Wajiondoe waende wapi ?

Uchaguzi mkuu ukija utasema tena wajiondoe ?

Shusha hoja za msingi ! Acha siasa.
 
Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni kwenye uchaguzi huu.
Msipoteze muda na fedha kwajili ya huu uchaguzi jiondoeni kushiriki.
miongni mwa ushauri mbovu zaidi kutolewa bila mihemko nchini, na unaostahili kupuuzwa.

vyama vya upinzani vina fedha au kura tangu lini gentleman, hata wapoteze hizo fedha au kura?🐒
 
Bora hata mimi ambaye nilishaweka msimamo wa kutokuja kushiriki kwenye hayo maigizo yao.
 
Back
Top Bottom