Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Wakishajiondoa then what next?Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni kwenye uchaguzi huu.
Msipoteze muda na fedha kwajili ya huu uchaguzi jiondoeni kushiriki.
viongozi wa vyama vya siasa Tanzania ni sikio la kufa. hata uwaambiaje wataongea muda ukifika wanashiriki story inabaki vilevile tu kila sikuSina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni kwenye uchaguzi huu.
Msipoteze muda na fedha kwajili ya huu uchaguzi jiondoeni kushiriki.
Tatizo ni kwamba hao Wanasiasa wengi pamoja na Viongozi wao kwenye hivyo vyama vyao vya siasa hasa kwa upande wa Wapinzani, wengi wao ni Mamluki na Mapandikizi ambao wapo huko kimkakati kwa ajili ya kukisaidia chama tawala kiendelee kubaki madarakani.viongozi wa vyama vya siasa Tanzania ni sikio la kufa. hata uwaambiaje wataongea muda ukifika wanashiriki story inabaki vilevile tu kila siku
SEMA CHADEMA JIONDOENI , NA WAKIKUSIKILIZA WAJIONDOE TU KUNA VYAMA ZAIDI 20 VINASHIRIKI HAINA SHIDASina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni kwenye uchaguzi huu.
Msipoteze muda na fedha kwajili ya huu uchaguzi jiondoeni kushiriki.
Hivyo ni Vyama Mamluki, vyama Pandikizi.SEMA CHADEMA JIONDOENI , NA WAKIKUSIKILIZA WAJIONDOE TU KUNA VYAMA ZAIDI 20 VINASHIRIKI HAINA SHIDA
miongni mwa ushauri mbovu zaidi kutolewa bila mihemko nchini, na unaostahili kupuuzwa.Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni kwenye uchaguzi huu.
Msipoteze muda na fedha kwajili ya huu uchaguzi jiondoeni kushiriki.