Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa binti wa miaka 25 huku bibi wa miaka 60 akipata ndoa ni muujiza mkubwa.
Unapowadanganya wanaume, usifikirie kuwa hawatagundua wakati fulani. Mwanaume akikushika unacheat, jua tu mahusiano yenu hayatakuwa kama mwanzo maana wanaume hawachukulii cheating kirahisi. Tafuta mwanaume unayempenda na utulie kabla ya kupoteza maisha yako mwanadada. Kubadilisha Wanaume kama nguo hhakuna tuzo ila kuna majuto zaidi kadri muda unavyozidi kwenda😎