Ushauri wangu wa bure kwa Mabinti

Dunia itawafundisha.

Ushauri mzuri sana sema ndio hivyo lakuvunda huwa halina ubani.
 
Yaani siku hizo Umalaya na kudanga wanaona kama ni fasheni Sijui ?! 🤔🤔

Sababu ya tamaa na maisha ya kujilinganisha na wengine.

Na walivyo washirikina na wachawi sasa na hata bado haviwasidii , wanafaidikika kwa muda mfupi tu kisha wanapigika.
 
leo ukweli unamiminwa kama njugu dah!

mwenye maskio na askie.
ukishupaza shingo usimlaumu Mungu kwa ukaidi wako.

utaburuzwa na kuchakazwa na kuchakazwa na kila mwanaume hadi ujichukie mwenyewe 🐒
 
leo ukweli unamiminwa kama njugu dah!

mwenye maskio na askie.
ukishupaza shingo usimlaumu Mungu kwa ukaidi wako.

utaburuzwa na kuchakazwa na kuchakazwa na kila mwanaume hadi ujichukie mwenyewe 🐒
Wasambazie huu Ushauri nasaha popote walipo Mkuu
 
Thamani ya mapenzi imepungua sana siku hizi.
Wanawake wanajirahisisha mno.
Wao wenyewe ndio wanawatega wanaume na kujitongozesha.
Wanaji expose.
Hali hiyo imeganya wanaume kukinahi, kukifu ile hali ya asili ya kufukuzia na kumpenda mwanamke .
Imeandikwa; “ Enyi binti Sayuni msiyachochee mapenzi hadi yatakapoona yenyewe kufaa”
 
Ebo! Kumbe wanaturoga hawa warembo eeh...ndio maana hela zinatoka tuu
 
Huu Uzi huwezi kuta wanawake wanachangia kwa sababu hawapendi kuambiwa ukweli
 
Uko sahihi.....akina Uwoya sasa hivi eti wanafungua makanisa😅😅
Na kuna wengine watakuja kufuga majini tu......huwezi kuishi kwa kuuza uchi daily, lazima utachoka tu, yaani kila kukicha we kazi yako kutafuta kick ili upate mwanamme wa kukuweka mjini, si ujinga huu? Utapigika, wanaume wanakuangalia tu na kukushusha thamani, mwisho wa siku unakuja kuolewa na msukuma au Muha dizaini ya Mwijaku au Baba Levo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…