thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
Kuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa.
Baada ya 29th October itakuwa wakati mzuri wa wanaharakati wa Tanzania kukata tamaa.
Watanzania inabidi waachwe kwenye mateso na changamoto ambazo zitaamsha akili zao bila kuwepo yeyote wa kuwasemea.
Idadi ya watanzania wajinga bado ni kubwa sana, hata wale wanaoelewa mambo ni waoga, hii inarudisha nyuma jitihada zozote za kuikomboa nchi.
Ulivyoongea kana kwamba Ali Kibao, Akwilina na wengine walikufa kwa kuandamana.Kufa, kuumizwa na polisi nani anataka? Watu hawatajitokeza kwenye msala huo!
Taifa linakutegemea mkuu✊Mimi mnisamehe nina familia na ndugu wanaonitegemea kwahiyo sitaandamana....
Kuna wananchi hawataenda kupiga kura wala hawatajitokeza kuandamana japokuwa wapo upande wa kuandamana. Huu upande wa kuandamana una watu wengi ila hawatajitokeza!
ishu hasa ndiyo hiyo ya kujitokeza, huu umati mkubwa unaojitokeza kujaza mikutano ya kampeni nchi nzima kama watajitokeza kupiga kura basi CCM haina haja ya kuhimiza wananchi wajitokeze kupiga kura maana tayari ina kura milioni 13 za wanachama wake, ukichanganya na hawa wanaojaza viwanja watasogea mpaka milioni 20. Milioni 40 hata wasipopiga kura CCM itatangazwa kushinda...shida haiko kwenye kuandamana
..shida iko kwenye kujitokeza kupiga kura.
..ilani na mgombea wamekosa mvuto.
..kila mtu kapanik anabembeleza watu wakapige kura bila kuwashawishi kwanini.
Umetumwa kuleta proganda zilishindwaKuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa.