one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Kusema kuboresha maisha hiyo ni kauli ya kijumla haina mashiko, lazima useme utafanya nini sababu iko mifano mingi imetokea nchi nyingi sana lakini leo ukienda kuwauliza wanasema bora zamani. Nchi nyingi za mashariki ya kati zilipita huko kabla ya sisi lakini leo hii Iraq, Egypt, Libya sijui Tunis wanakiri walikuwa bora kuliko leo. Hapa Africa nchi nyingi zimepita huko lakini hata Congo na uhakika wansema bora enzi za Mobutu walikuwa na heshima na utulivu.waandamanaji wangepata mlinzi wa uhakika nafikiri watanzania
kwamba hakuna huwezekano wa watu kuboreshewa maisha uko serious kweli na akili timamu?
Nacho jua mtu akiwa HIGH KONYAGIIII IMEPANDA AU BANGI HATA UGOLO TU AKILI INAKUA VERY HIGH..Hapo ndipo sijawahi kuiamini bangi hata siku moja
Yani unakuta mtu anavuta bangi na kunywa visungura na bado anaogopa kufa kweli? Sasa anavuta bangi ya kazi gani
Mimi nahisi wanajifanyisha tu hasa hawa wakwetu tz unakuta mtu yupo jicho kama chuma imepashwa moto lakini anaogopa risasi na mabomu ya machozi eti kala cha Arusha huyo!Nacho jua mtu akiwa HIGH KONYAGIIII IMEPANDA AU BANGI HATA UGOLO TU AKILI INAKUA VERY HIGH..
UJASIRII NA BILA WOGA HATA RISASI HUISIKII MAUMIVUU
Nani wanasema?hata Congo na uhakika wansema bora enzi za Mobutu walikuwa na heshima na utulivu.
Bangi hukupeleka KULE akili ilipo elekea unakumbuka enzi za yule ujambazi wa JAMAA ALIE JULIKANA KAMA NYAU hapo Arusha.Mimi nahisi wanajifanyisha tu hasa hawa wakwetu tz unakuta mtu yupo jicho kama chuma imepashwa moto lakini anaogopa risasi na mabomu ya machozi eti kala cha Arusha huyo!
Ingekuwa bangi inafanya kazi Arusha ingeshakuwa jamhuri
Hapo umeongea kweli bangi humpeleka mtu kwenye kile anachowaza na asilimia nyingi ya watz wanawaza matako makubwa na threesome kwahiyo bangi wanazovuta ni kwa ajili ya mishangazi tu mambo za siasa hawazijui kabisaBangi hukupeleka KULE akili ilipo elekea unakumbuka enzi za yule ujambazi wa JAMAA ALIE JULIKANA KAMA NYAU hapo Arusha.
Au yule jamaa wa mbeya wale jamaa walikuaga watu HATAREEE sanaaaaaa
The Democratic Republic of Congo (DRC) is generally considered to be worse off post-Zaire in terms of humanitarian crisis and stabilityNani wanasema?
Pia Kuna dawa za kienyeji za kuongeza UJASIRII.Hapo umeongea kweli bangi humpeleka mtu kwenye kile anachowaza na asilimia nyingi ya watz wanawaza matako makubwa na threesome kwahiyo bangi wanazovuta ni kwa ajili ya mishangazi tu mambo za siasa hawazijui kabisa
Siku hizi mitaa mingi ya Dar na miji mikubwa bangi inavutwa hadharani ila wanaovuta waoga hatari kama kunguru
Hiyo inafaa wapewe vijana wa dar ikiwezekana apewe zabuni bakhresa ili achanganye kwenye unga wa ngano na sembe maana bangi haisaidii chochotePia Kuna dawa za kienyeji za kuongeza UJASIRII.
Una I nusa kama powder fulani inakua unga unga.
SourceThe Democratic Republic of Congo (DRC) is generally considered to be worse off post-Zaire in terms of humanitarian crisis and stability
Yes I agree with you. Zaire was a peaceful country. All this fighting started during Laurent Kabila s rule .he is the one started the war in 1996 to take down mobuto .since then the rebels forces.Nani wanasema?
😊 Kwa kweriiiii wakipatikana watu 2000 watata yaani ma die hard mbonaHiyo inafaa wapewe vijana wa dar ikiwezekana apewe zabuni bakhresa ili achanganye kwenye unga wa ngano na sembe maana bangi haisaidii chochote
Mobutu ndiye aliyeifikisha DRC hapo kwenye corruption na lawlessnessSitaki kukuletea kila kitu unaweza fanya search mwenyewe, wengi wanasema Mobutu alikuwa dictator lakini aliweka stability
Waweza kufa hata bila kundamana au kabla ya uchaguzi.Usiku mwaka🤣🤣🤣🛠️🔧⛏️🗜️⚒️Mimi mnisamehe nina familia na ndugu wanaonitegemea kwahiyo sitaandamana....
Ndizo dalili za ukombozi hizo⚒️🗜️⛏️🔧🛠️🔨🔩⚙️Hiyo siku mitandao yote itazimwa hata VPN haitofanya kazi.. pia umeme utakatwa nchi nzima
Hiyo secta nimeshawahi..wewe utakua frontMbona kama umeshakata tamaa kwamba hawatajitokeza....mimi nitakuwa live insta, jf na twita nikifuatilia kwa ukaribuView attachment 3486992
Ngoja niandae jenereta langu.Hiyo siku mitandao yote itazimwa hata VPN haitofanya kazi.. pia umeme utakatwa nchi nzima
kupunguza bajeti za Viongozi na waserikali kama unalipa mpaka wake wa wastaafu unategemea nini?Kusema kuboresha maisha hiyo ni kauli ya kijumla haina mashiko, lazima useme utafanya nini sababu iko mifano mingi imetokea nchi nyingi sana lakini leo ukienda kuwauliza wanasema bora zamani. Nchi nyingi za mashariki ya kati zilipita huko kabla ya sisi lakini leo hii Iraq, Egypt, Libya sijui Tunis wanakiri walikuwa bora kuliko leo. Hapa Africa nchi nyingi zimepita huko lakini hata Congo na uhakika wansema bora enzi za Mobutu walikuwa na heshima na utulivu.
Nasema hivi tusikimbilie jambo hatujui tunataka nini kwenye mabadiliko, kubadili serikali tu bila mikakati ni sawa kubadilisha daladala tu lakini unakoenda ni kulekule. Wapinzani wanatakiwa kuweka nini watafanya bora kuliko hawa CCM.