Hiyo bold naichukulia kama apology statement. You are forgiven kijana. Ungekuwa karibu ningekutwanga na serengeti mbili za baridi kali kudhihirisha my acceptance.
kaka chrispin.
nakubaliana na wewe kwamba wapo wanywaji ambao wanaweza kujidhibiti na unywaji wao, lakini tukiangalia tathmini za kilimwengu hususan nchi zinazoweka tathmini kama za ulaya magharibi na marekani utakuta kwamba mahusiano mengi yanavunjika mwisho wa wiki baada ya unywaji. na ukiangalia vizuri katika post yangu baada ya kuweka hiyo "pombe mama wa maasi" nilijaribu kumuelekezea mashambulizi huyo anaemtesa mke wake ili ieleweke kwamba walevi wa namna hiyo ndio ninaowakusudia. hongera kwa kuweza kuifanya ndoa yako iwe strong as rock, nakuombea mafanikio zaidi.