Ushauri: Wasanii punguzeni mapicha na video kwenye misiba, mnakuwa vituko

Ushauri: Wasanii punguzeni mapicha na video kwenye misiba, mnakuwa vituko

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Punguzen haya mambo mnaonekaana vituko na usaniii

Yaan kila.mtu akienda misiba ya wakubwa anataka vid anataka picha arushe fb nani anahitaji picha zenu kwenye fb ama vid zenu

Kufika n inada uhitaji kutujuza umefika msiban mbona amtuambii na michango.mmetoa sh ngapi???

Kuna kichekesho namwona mtu kashika msalaba wala hahusian na ndugu wa marehemu anapiga picha kama vile tunaenda zika

Punguzen haya mambooo
 
Wasanii wanchagua misiba

Kama msanii hana jina na ushawishi hawaend msibani

Maisha yao yamejaa kiki
 
Mjane wa kanumba katia fora analia huku anaangalia kamera
 
Back
Top Bottom