Christina George
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 673
- 783
Mbomboongaf.Kumbe unajua thamani yake, maana umesema akistshili...
Duh sasa kwa maisha yenu ya saivi na mmeshaasema ni tendo la kiroho mbona kama ni pointles..ai ndo nyie kutwa mnaeka wazi ubaharia wenu humu kujisifia kumlala kila anaekupa nafasi...shenz kabisa kwa taarifa yenu Mungu anakupa wa kufanana naww.Baba huyo ni mfa maji..! Anatapatapa tu... Hana lolote... Yeye kachezea bikra yake... Anajulia wapi utamu wake...
Ni sawa na mtu aliyekata kucha zake... Atajuaje utamu wa kujikuna upele..?
Apambane na hali yake tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta Wametak wenyewe bwashee ule Ubishi kitandani ni Ugeni tuu wa Tendo sio kwamba Wanalazimishwa SaaanaLakini na sisi wanaume ni wanafki kidogo, tungekuwa tunaamini hasa katika bikra tusingekuwa tunawatoa mabinti bikira zao na kisha kuwaacha! Tunawahukumu wasichana kama vile bikra wanajitoa wenyewe! Hili suala ni la pande zote mbili.
Hapa kidonyo umeongea something amazing [emoji23][emoji23][emoji23]Duh sasa kwa maisha yenu ya saivi na mmeshaasema ni tendo la kiroho mbona kama ni pointles..ai ndo nyie kutwa mnaeka wazi ubaharia wenu humu kujisifia kumlala kila anaekupa nafasi...shenz kabisa kwa taarifa yenu Mungu anakupa wa kufanana naww.
Yaan ukifika mda wa kuoa hata upate bikra hutaona umuhimu wake badala yake ni kuvuna ulichopanda.
Aisee hiyo issue ya vibamia ni maumbile tu,na sidhani kama kuna tatizo. Ila kwa yule mwanaume ambae hawezi kabisa kusimamisha uume (hanithi) taarifa itolewe kwa Mchungaji/Padre/pasta/Shekhe na ndoa hiyo HUBATILISHWA.
Kwa sababu wa kumpa ni tatizo
We nae acha dharau na dini za wengine.Padri atasaidia nn wakati yy hata mke hana unaenda muomba ushauri mtu ambae hajui hata changamoto za mwanamke Padri..
Sent using Jamii Forums mobile app
inaonekana ulitolewa bikra ukiwa mdogo sanaWw unadhani kuna mwanaume anaestahili kuoa bikra saivi? Yaan hata nipate chance angel anitokee atake kurudisha bikra yangu wala sitakubali.
huyo bado mgeni wa hizo mamboSio how pussy smell like?
Wengne unadhifu alafu wananuka kama sijui kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo anakuwa amekubaka au? Zile ni hisia tu maana anakuwa ameshapevuka huku akili haijakomaa ndio maana wanaoweza kuvuka ile stage wanaonekana mashujaa ila sometimea ni kwa sababu tu ya mazingira nayo huwasaidia! Mi naonaga kama unaamua kumtoa binti bikra basi uje umuoe la sivyo itakuwa haina maana ya ww kufanya hivyoUnakuta Wametak wenyewe bwashee ule Ubishi kitandani ni Ugeni tuu wa Tendo sio kwamba Wanalazimishwa Saaana
Na baadae ndio tunapata watu product kama hizi Christina George Tuttyfruity
Wanao-ona kuwa na mashimo ndo mpango
Hapana, hapaissue sio kuomba ushauri. Hpa namaanisha kwamba, umeoa lakini umeshindwa kufanya tendo la ndoa. Mkeo ana uwezo wa kutoa taarifa kwa aliyeafungisha ndoa na ndoa inaweza kubatilishwa. Hope umenielewa.Padri atasaidia nn wakati yy hata mke hana unaenda muomba ushauri mtu ambae hajui hata changamoto za mwanamke Padri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Halikuwa lengo langu kuleta mjadala huu ili wale wasioanazo wasemwe vibaya. Kwanza nimezungumzia kuhusu WASICHANA (wale ambao bado hawajaanza kujihusisha na ngono)ndio walengwa, nikiwasihi wajitunze ,mpaka pale watakapoolewa.Mwazilishi wa huu uzi ni mchonganishi lazima tumpeleke kwa pilato...hawez kusababisha wenzanke wale vichambo hivi...kwani wakipangwa wanawake mbele unaweza kumjua bikra kwa kumuangalia..???
hata alietumika alikuwa mpya...at the end its the same woman blaza...........wale wale....Sio wale wale,yani gumegume limeshatumika,lina majeraha kibao ya kimahusiano ulinganishe na mtoto mbichi kitu hakijagusawa useme ni the same?
Niko vzur mkuu tena si kimwili tuu mbka vingine..ilo shimo unaloliongelea pengine ndo saizi ya dudu za mabwana za watu, sina shimo.Unakuta Wametak wenyewe bwashee ule Ubishi kitandani ni Ugeni tuu wa Tendo sio kwamba Wanalazimishwa Saaana
Na baadae ndio tunapata watu product kama hizi Christina George Tuttyfruity
Wanao-ona kuwa na mashimo ndo mpango
Aiseeeee, kwa hiyo unaona ni halali KUUA!! Inasikitisha sanaMostly hazinigusi personally sipendi kuona mtu anatukanwa na kudharauliwa kwa chaguo alilofanya. Kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake jinsi anavyoona inampendeza yeye. Mwanamke ana haki ya kuchagua kua bikra, non bikra, kutoa mimba au kua single mother. Sio sahihi kumkebehi kisa kafanya maamuzi ambayo hayakupendezi wewe. Mwache na maisha yake.
Sent using Jamii Forums mobile app