USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Mmeo amekosa sababu za kukuheshimu except that?! How small minded he is!

Yani thamani yako kwake ni kuwa tu hakuna mwanaume mwingine aliyewahi kukuingilia, na id that somehow changes you become worthless?
Nyie ndio Wadandia treni kwa Mbele
 
Mmeo amekosa sababu za kukuheshimu except that?! How small minded he is!

Yani thamani yako kwake ni kuwa tu hakuna mwanaume mwingine aliyewahi kukuingilia, na id that somehow changes you become worthless?
Of course hiyo ni sababu kubwa sana KWAKE ya kuniheshimu na kuendelea kuniheshimu, If you think otherwise hiyo ni wewe!
 
Seems like a small mind kwangu, you are much more than a untapped pussy
 
Seems like a small mind kwangu, you are much more than a untapped pussy

Mmeo amekosa sababu za kukuheshimu except that?! How small minded he is!

Yani thamani yako kwake ni kuwa tu hakuna mwanaume mwingine aliyewahi kukuingilia, na id that somehow changes you become worthless?

You are obsessed Sana with Small Minded
kila mtu unaona yuko Small Minded
Hebu utuambia How Big Minded you are Mr ?
 
Kuna mwenzako kaanzisha uzi kuhusu bikra na ndoa sijui wanaume hatujiamini kaanza kuomba moderator wafunge uzi wake maana kapigwa maneno kama Jafo alivomsema Mkandarasi hadi akazimia,nafikiri na yeye ana hali mbaya sana huko alipo.Wewe bisha tu umuhimu wa kutunza bikra mpaka ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app

wewe nae usinitafute,nani alikuambia tunaogopa maneno?? tunaona maandishi tu huku...achene kujimwambafy..mxieeww
 
Nyie mnajua tu kuongea na kujifanya mnapenda kutoa ushauri ila hamjui km watu wenu wa familia ndio wanatoa hizo bikra wakati watoto wakiwa wadogo lakn hawasemi tu
 
Najua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI!

Binafsi nilibahatika kuolewa nikiwa bikira, aisee mume wangu ananiheshimu sana kwa hilo. Mabinti ambao bado hamjaanza ngono, tafadhali acheni mpaka pale mtakapokuja kuolewa, inawezekana sana kama ukiwa na msimamo na ukijiwekea malengo.

Itakusaidia pia kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa kama cervical cancer na HIV, kama unasoma basi utajikita kwenye masomo yako zaidi na chances za kufanya vizuri na kuwa na mafanikio kimaisha pia huongezeka.

Lakini pia kwa wale ambao wanamuamini Mungu watakubaliana na mimi kwamba UZINZI ni dhambi,kwa hiyo ukiepuka ngoni kabla ya ndoa unaiepuka dhambi no 6 kwenye ile list ya 10 commandments.

Mwenye masikio na sikie, binti tunza bikira yako mpaka utakapoolewa, usisikilize ushauri wa walioshindwa kuitunza hii TUNU [emoji8] na wale wanaume waharibifu na wachafuzi.

Tchao.
Watunze bikra za wap master
 
Pole..nilichomaanisha mi kwamba kesi za ndoa waliooana bikra ni sawa sawa na wengine..na ndomana sijutii kuitoa yakwangu mana haileti tofauti ndoani. Narudia tena kama ambavyo wadada wengi hatuna bikra vivyohivyo wengi wenu hamna hadhi ya kupewa bikra
Punguza hasira uliitoa kwa chips nn
 
Najua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI!

Binafsi nilibahatika kuolewa nikiwa bikira, aisee mume wangu ananiheshimu sana kwa hilo. Mabinti ambao bado hamjaanza ngono, tafadhali acheni mpaka pale mtakapokuja kuolewa, inawezekana sana kama ukiwa na msimamo na ukijiwekea malengo.

Itakusaidia pia kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa kama cervical cancer na HIV, kama unasoma basi utajikita kwenye masomo yako zaidi na chances za kufanya vizuri na kuwa na mafanikio kimaisha pia huongezeka.

Lakini pia kwa wale ambao wanamuamini Mungu watakubaliana na mimi kwamba UZINZI ni dhambi,kwa hiyo ukiepuka ngoni kabla ya ndoa unaiepuka dhambi no 6 kwenye ile list ya 10 commandments.

Mwenye masikio na sikie, binti tunza bikira yako mpaka utakapoolewa, usisikilize ushauri wa walioshindwa kuitunza hii TUNU 😘 na wale wanaume waharibifu na wachafuzi.

Tchao.
Watunze bikra halafu iphone utawanunulia wewe?
 
Back
Top Bottom