USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Hakika! Hata akiamua kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni yeye, kikubwa maamuzi yake.
Ndio maana kizazi hiki kinaitwa kizazi cha nyoka, Mole wetu atusamehe tu sisi waja wake.
 
Samcezar,
Umeongea vitu vya msingi lakini it's too harsh bwanaa. Hapo kwenye bold hapo nakataa kabisaaaaa! Mwanamke akiolewa na mtoto si kwamba hana thamani, tena wanaume wengine huenda mbali zaidi na kutaka kuoa mwanamke ambae alishazaa mtoto/watoto.
 
NA NDO TUAMKE NDOTONI HAKUNA KITU MILELE KITATOKEA ETI "NO SEX BEFORE MARRIAGE"....ili tugundue nn kwanza😂😂
 
Niko vzur mkuu tena si kimwili tuu mbka vingine..ilo shimo unaloliongelea pengine ndo saizi ya dudu za mabwana za watu, sina shimo.
Mmmhhh vingine vipii hivyoo?
Sasa tangu umemaliza form four Mgodi unachimbwa hadi Leo tutegemee nini Sasa
Ngoja nikuje nione Kama haun Shimo [emoji23][emoji23]
 
Mmmhhh vingine vipii hivyoo?
Sasa tangu umemaliza form four Mgodi unachimbwa hadi Leo tutegemee nini Sasa
Ngoja nikuje nione Kama haun Shimo [emoji23][emoji23]
Kwani unajua nna umri gani saivi..na ngono sio starehe kwangu afu najua kutunza afya mbaka papuchi yangu.
 
NA NDO TUAMKE NDOTONI HAKUNA KITU MILELE KITATOKEA ETI "NO SEX BEFORE MARRIAGE"....ili tugundue nn kwanza[emoji23][emoji23]
Listens Huwezi badilisha mitazamo ya watu Kama ambavyo Watu Wameshindwa kukubadirisha Wewe juu ya hili Swala

Sana Sana Naona unavuka Mipaka ya Dini tuu..Hayo Mambo ya Kuolewa na Bikra it's all Starts kwenye Imani... Hakuna Dini (Either Uislamu/Ukristo) ambayo hai-support mtoto wa kike kuto-olewa na usichana Wake...yani Hakuna Dini inayo ruhusu Zinaa hapo

Na kama ni hiyo
Nashangaa Ninyi Wengine mnaleta maneno ya Ajabu Mara kukaa na bikra ni uchuro, Huwez kumtunzia Mwanaume bikra, Sijui Mnaogopa sababu Mnavibamia nk.Kana kwamba hamna Dini ?...Labda Muwe mumekulia katika misingi ya hovyo hovyo Au Kama si hivyo life liliwachakat mkajikut mko hivo na hatimae
Mko Kama mnajifariji hapa

Hivi Ninyi Mnaoshabikia mashimo, How do (will) you behave to your children ?? Sio wa kike tuu na kiume Pia Au Mnaongea kuchangamsha Genge it's so awkward

Msikeleketwe na nafsi hapa kuwaon Washamba wenye u-sichana wao Ama tunaSupport... We kama Shimo unalo No Way, Take it Easy Usipanic[emoji38] utaolewa


The Thing is so worthy Mpaka zinafojiwa Na ndimu
Watu wanatoa Mamillion ya hela kuwaoa Vigori
 
Next kaoneka,
Uo ni upumbavu hujui tabia yangu kisa tuu bkra unatoa mahari kuuubwa kumbe hata sijui ndoa nnn...sipingani na maandiko ila siku zinavyozidi kwenda na bible inazidi kupitwa na wakati..mm ni christian na naabudu pia kwa Imani yangu ila sasa kama hata watumishi yanawashinda mimi ninani nikomae.

Na hao wanaofoji waulize kama kuna aliefika malengo zaidi tuu kuumia kwa first game na mwisho mnaachana tu kama mm na X wangu.
 
Aiseeeee Christina George hivi ni kwamba umeumizwa sana ama tu unaamua kuendeleza mjadala huu!! Unasema bible inazidi kupitwa na wakati??😭😭😭😭😭😭 and you are a Christian!!!
 
ila siku zinavyozidi kwenda na bible inazidi kupitwa na wakati..mm ni christian na naabudu pia .

Hupangini na Maandiko, kwani Maandiko yamasema usiolewe na bikra Kama Wewe ?
Si bure usiwe na Dini Sasa Unaabudu kitu ambacho kipo outdated jamani [emoji23][emoji23] ?

I can't imagine kizazi kijacho kitakuaje
 
Kila siku bikra bikra bikra.... wakipumua kidogo basi single mama. Yani hata kutunga story za kiduku lilo hawawezi? Nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha wewe huna bikra halafu pia ni single mama
Pole Sana ndiyo maisha uliyo ya chagua

Basi usimpangie mtu Kitu cha kupost
Halafu sio lazima usome hii thread

Nenda jukwaa lingine hukoo

Usitusumbue pumbavu ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is you're point Ma'm?
 
Hupangini na Maandiko, kwani Maandiko yamasema usiolewe na bikra Kama Wewe ?
Si bure usiwe na Dini Sasa Unaabudu kitu ambacho kipo outdated jamani [emoji23][emoji23] ?

I can't imagine kizazi kijacho kitakuaje
Ivi wewe Maandiko yenyewe yanasema tufikiri toba mda ote maana yake ni kwamba kutenda dhambi ni lazma iwe kuwaza kunena au kutenda....ni kweli imepitwa wakat bible ukitaka kuamini fatilia life ya walokole ndo utajua peponi wataenda malaika tuuu......Mimi mkkristo safi sichezei wanaume So hope futurw itakua byee kwangu, vitombi mtasubiri sanaaaaa
 
Hupangini na Maandiko, kwani Maandiko yamasema usiolewe na bikra Kama Wewe ?
Si bure usiwe na Dini Sasa Unaabudu kitu ambacho kipo outdated jamani [emoji23][emoji23] ?

I can't imagine kizazi kijacho kitakuaje
Kizazo kijacho ni kizuri sababu mpinga mkristo tayar atakua anatawala so ni mwendo wa 666 tuuu.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…